Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,032
Pole sana mkuu
Nafeel unachopitia
Huwa ni maumivu makali sana, hadi leo nampenda sana.. kajaa moyoni mwangu, ila yeye sipo kabisa moyoni mwakez kamuweka mchizi wake... dah! Ni taabu sana, baada ya kumpoteza na maisha yalipoteza maana aisee