Nimemkumbuka Ex wangu

Kama kasha move on, hakuna utakachobadili na hata kama akikurudia nothing will ever be the same again.!!
Learn to accept the reality though it real hurts sometimes, nothing lasts forever, even that pain will cease one day.!!
I can feel you..!!
Thanks for your advice.
 
Maumivu ya kuachwa ni makalii mnoo!
Hajir alishapona kidonda cha maumivu na wewe sasa ujifunze kuishi bila yeye sababu ilikuwa ndo lengo lako!
Ni kweli unayosema ila kila binadamu hukosea.
Ni hasira tu zinatokeaga mtu unafanya maamuzi mabaya.
 
Mmeachana?? Au
1 Umeacha
2 Umeachwa
Kama bado unampenda mpigie simu umueleze ukweli


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mmmh, anaweza kurudi kama haijajjrudia sana, niliwahi kurudi mara 5 kwa namna hii, ila nilipochoka sijarudi mwaka wa 3 huu bado anabembeleza namuona takataka tu
 
Mmmh, anaweza kurudi kama haijajjrudia sana, niliwahi kurudi mara 5 kwa namna hii, ila nilipochoka sijarudi mwaka wa 3 huu bado anabembeleza namuona takataka tu
 
Habari zenu humu ndani.
Mwenzenu leo sina furaha sana maana akili yangu yote inamuwaza Hajir mpenzi wangu tuliyeachana nae kama miezi zaidi ya minne sasa.

Sema ukweli nilikuwa nampenda sana Hajir wangu. Tangu tuachane nimejaribu kuingia kwenye mahusiano mapya kama mara tatu hivi lakini wapi, sipati furaha kama niliyokuwa nayo nilipokuwa na Hajir.

Nakumbuka tulipoachana nilifuta namba yake ili nikate mawasiliano naye kabisa. Hili halikusaidia maana namba take imo kichwani mwangu.

Anyway, kama yumo humu naomba anisamehe kwa niliyomtendea anisamehe tuishi kama zamani. Niliyokufanyia ilikuwa ni hasira tu Hajir mpenzi wangu. Nakupenda sana.

Pole boss wangu. Mie mwenye napata taabu kama yako toka Jo anipige cha mbavu sijaona mbadala wake, nilipo nimejibanza, ila ikatokea aakchika na mume wake wa sasa navuta jiko.. huwa napata taabu sana anapo nisalimia kwa whatsapp alafu profile picture yake kapiga yeye na mumewe huwa naumia sanaaa... natamani nifumbe macho nisione picha ila haina namnaaa 😰😰😰
 
Pole boss wangu. Mie mwenye napata taabu kama yako toka Jo anipige cha mbavu sijaona mbadala wake, nilipo nimejibanza, ila ikatokea aakchika na mume wake wa sasa navuta jiko.. huwa napata taabu sana anapo nisalimia kwa whatsapp alafu profile picture yake kapiga yeye na mumewe huwa naumia sanaaa... natamani nifumbe macho nisione picha ila haina namnaaa
Pole sana mkuu
Nafeel unachopitia
 
Back
Top Bottom