Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

Manka! tayari unaye boy friend unayempenda, inakuwaje unatoa mianya ya unakaribisha wengine? Je, boy friend wako analijua hili?
Kwa nini unajiweka roho juu? ona sasa, umeanza kumpenda huyu mpya! wako wengi sana hawa na hawataisha!
 
mwambie unavojickia juu yake uone atakuambia nn mana huwezi jua yy naye huko aliko havikaliki.......ila nivema ukafata ushauri wa kaka bht

better the devil you know than the angel you dont know...
 
chaguo ni lako dunia ni yako

gusishanisheni vikojojeo kufikia kilele cha ubora kutimiza furaha ya hisia za mioyo yenu..
 
mwambie unavojickia juu yake uone atakuambia nn mana huwezi jua yy naye huko aliko havikaliki.......ila nivema ukafata ushauri wa kaka bht

better the devil you know than the angel you dont know...

That's not necessarily absolute because even the devil you know was perhaps the angel you didn't know at some point....
 
Samitaimz hili nalo ni jumba la sanaa angalia usirudi hapa na kilio. Ohooo!
 
Back
Top Bottom