Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

jaman me nmekuja hapa (1)cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums (2)ni HB alafu kuna (3)vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na (4)nliinjoy sana naye pia (5)kaonyesha kunpenda na kwa jinsi (5)nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa (6)najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang

1. Kama kwa haya hujui cha kueleza wewe ni mnafiki hata kwa nafsi yako
2. Subjective saaaanaaaa
3. Hapo ushaamua unataka kura za kukuunga mkono
4. Appreciation kwa baadhi yenu ni OK implied
5. Unaendelea kujiridhisha nafsi kwa kufikiria
6. Sio kila muungurumo ni gari.........generator pia huunguruma
7. Unajifil unataka.........

Chicken headed.....n you dont even say kama unampenda boyfriend wako zaid ya kusema yupo!!!!!
Boyfriend wako atakushauri vizuri sana n at tha same time ataamua na ya upande wake
 
Nyimbo ya taifa haichezwi disco,cku moja2 ushatamani kumbwaga boyfrnd wako?kwahlo cna iman tena na mpnz wngu kumbe wanawake ndo mlvo?

Wamesema usitukane misitu kwa mti mmoja, nani kasema wote wako hvo?
 
Ni tamaa tu au niseme ni physical attraction uliyopata kwa huyo kaka. In no time itakwisha. Tulia na uliye naye
 
1. Kama kwa haya hujui cha kueleza wewe ni mnafiki hata kwa nafsi yako
2. Subjective saaaanaaaa
3. Hapo ushaamua unataka kura za kukuunga mkono
4. Appreciation kwa baadhi yenu ni OK implied
5. Unaendelea kujiridhisha nafsi kwa kufikiria
6. Sio kila muungurumo ni gari.........generator pia huunguruma
7. Unajifil unataka.........

Chicken headed.....n you dont even say kama unampenda boyfriend wako zaid ya kusema yupo!!!!!
Boyfriend wako atakushauri vizuri sana n at tha same time ataamua na ya upande wake

Umemaliza kazi mkuu, maana anajifanya hapendi wakati anataka...
 
Dada manka cha kukushauri ni uende ukajifunze kwanza maana ya upendo kwa sababu hujui kabsaaa! yani umeingia kwenye uhusiano ukiwa hujijui. Huwezi kusema unampenda mtu zaidi ya mmoja. sababu mojawapo ni kwamba upendo una "commitment" ambayo ni kumuahidi m2 hutoangalia pembeni na ukailinda ahadi yako hadi kifo. Mimi naona humpendi huyo kaka wala humpendi boyfriend(what the hell is boyfriend anyway?) .Wewe ni mtu ambaye ni take take take and never give back. Nenda kajifunze kwanza ndo uingie huko....
 
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang

we una varu varu babii naleliyo naleliyooo..............:embarassed2:
 
Wazuri wapo wengi,utajikuta unarukaruka kama kitenesi..sikia kengele ngrrrrrrr...tulia na wa kwako.!!unaweza kumfanya awe vile upendavyo,dont focus much on ready made coz there is cost behind...

unakunywa kinywaji gani?
 
Back
Top Bottom