Nimemiss wimbo wa Kapt Komba - Yule pale Kada

General Akudo

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
560
824
Wanajamii awali ya yote namshukuru Mungu kwa kuendelea kuruhu niwe hai, Pia naomba marehemu wote na hasa Kapt Komba aendelee kupumzika katika makazi ya kudumu kadili anavyostahili.

Nimekumbuka lile jimbo lake matata,
sasa kumekucha jogoo limekwisha wika dodoma
kada wa ccm apewe kura za ndio
yule pale yule pale mumemuonaaa
kada wa ccm apewe kura za ndiooo

Povuuuuu
 
Huo wimbo mi ndo ringtone yangu sema nimeu edit flani hv watu hawaelewi sana ila kwa wanao ujua wakiuskia wanajua Huyu ni kapiteniiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom