Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,126
- 39,320
Huyu na Rutashoblwa natamani mods wangezuia wasini quote....
hawa ni zaidi ya uchafu humu
Huwezi amini hizo ndo thinktank za CCM!!! Hii nchi vituko havitaisha!!
Huyu na Rutashoblwa natamani mods wangezuia wasini quote....
hawa ni zaidi ya uchafu humu
Kwa mwenye uwezo wa kufikiria zile ziara zilikuwa mahususi kwa ajili ya kuset pace na agenda ya serikali ya tano. Ila sababu wengi hamuwezi kungamua logic ndogo kama hiyo. Hivi wewe kwa akili yako unadhani Raisi angeweza kwenda kila mahali?
Katika hao waliomchoka niweke na mimi.Yaani jamaa siku hizi umechanganyikiwa kweli unaandika uozo kweli, 'walivyomchoka' wewe na mkeo au unamaanisha wakina nani hao
Bora wewe umewaza miwili...nikiwaza hivi hiyo miaka minne tutaimalizaje nakonda!Kwa jinsi watu 'walivyomchoka' miezi kumi tu
sijui akifikisha miaka miwili itakuaje?
Bora wewe umewaza miwili...nikiwaza hivi hiyo miaka minne tutaimalizaje nakonda!
Hata mimi nimezimiss...siku hizi hata taarifa za habari hatuangalii.
Hakuna jipya zaidi ya Makonda na Sapi kujitutumua.
Habari ya mjini ni UKUTAAAAA
Watu ''walivyomchoka'' kwa kutumia kigezo cha hisia zako.
Una haki ya kutumia kigezo cha hisia zako kama ilivyo haki ya kuendelea kuwa mjinga.
Hata wajinga wana haki ya kuamua kuwa wajinga pamoja na kwamba ujinga ni mzigo kwa taifa!
hicho kiwanda kinafyatua watu auKuna wawekezaji wa viwanda wamekuja na jana walienda kumwona mkuu, waliweka wazi kuwa kiwanda kitaanza kazi AFTER 40 YEARS jamani ninyi ten months tu mmechoka! Lets wait angalau ipite 39 years then Tz ya viwanda itakuja
Kama haiwezekani kwenda kila mahali kwa nini alikwenda mahali fulani. Kigezo cha kwenda alikokwenda na si huko ambako hakwenda kilikuwa ni nini? Jee wale waliofikwa na ziara hizo na matamko kutolewa si watahisi kuwa walikuwa wameonewa?Kwa mwenye uwezo wa kufikiria zile ziara zilikuwa mahususi kwa ajili ya kuset pace na agenda ya serikali ya tano. Ila sababu wengi hamuwezi kungamua logic ndogo kama hiyo. Hivi wewe kwa akili yako unadhani Raisi angeweza kwenda kila mahali?
Mhhhhhh hebu elezea vizuri hili mkuu.Kuna jamaa baada ya msafara akaingia barabarani akatema Mate... nilishangaa sana
Sikupata Jibu kamili labda Maisha Magumu au kaathilika uwepo wa JamaaMhhhhhh hebu elezea vizuri hili mkuu.
Kiukweli ushauri wa wana Lumumba ni unafiki na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, ndo wanaomdaganya avunje katiba ili kuvunja democrasia huku akisahau aman ya nchi. Akiendelea kusikiliza ushauri wa vichwa vya mwendokasi a.k.a villlaza wa Lumumba nchi itamharibikia mkononi mwake.Huwezi endesha mambo kwa kutumia akili za kima Barbarosa, wakudadavua,mudawote,lizaboni,msemaji ukweli na aina hii ya manyumbu alafu ukategemea utafika mbali. Ashagota anasikiliza ushauri toka kwa yeyote sasa hivi mshauri wake mkuu ni Barbarosa