stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jul 30, 2013 #1 Comparisons.. Hapo ni Mama v akiwa na Mamndenyi wanapeleka watoto wao...... Na iyo ya chini nadhani ni Baba V akiwa na Mr Rocky wanawatoa "AUTI"" watoto wao.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Comparisons.. Hapo ni Mama v akiwa na Mamndenyi wanapeleka watoto wao...... Na iyo ya chini nadhani ni Baba V akiwa na Mr Rocky wanawatoa "AUTI"" watoto wao....
M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,349 Jul 30, 2013 #2 stevoh huna maana kabisa aise yaani kujificha kwako kote ndo unakuja na dongo kama hili Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 47,607 40,749 Jul 30, 2013 #3 Waje kwanza huku wahusika.
Passion Lady JF-Expert Member Nov 17, 2012 8,688 4,633 Jul 30, 2013 #4 Mr Rocky said: stevoh huna maana kabisa aise yaani kujificha kwako kote ndo unakuja na dongo kama hili Click to expand... na unieleze kwa kina sababu ya kumning'iniza aunt yangu namna hiyo ka kuku anaepelekwa machinjioni!!
Mr Rocky said: stevoh huna maana kabisa aise yaani kujificha kwako kote ndo unakuja na dongo kama hili Click to expand... na unieleze kwa kina sababu ya kumning'iniza aunt yangu namna hiyo ka kuku anaepelekwa machinjioni!!
stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jul 30, 2013 Thread starter #5 Mr Rocky said: stevoh huna maana kabisa aise yaani kujificha kwako kote ndo unakuja na dongo kama hili Click to expand... hahahaha kaka mkubwa mzima wewe asee nimemisi jukwaa naona watoto wengi siku izi.. Jukwaa halipumui ni bandika bandua.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: stevoh huna maana kabisa aise yaani kujificha kwako kote ndo unakuja na dongo kama hili Click to expand... hahahaha kaka mkubwa mzima wewe asee nimemisi jukwaa naona watoto wengi siku izi.. Jukwaa halipumui ni bandika bandua..
stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jul 30, 2013 Thread starter #6 Mtoto halali na hela said: Waje kwanza huku wahusika. Click to expand... vipi mkuu mzima wewe..
stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jul 30, 2013 Thread starter #7 Passion Lady said: na unieleze kwa kina sababu ya kumning'iniza aunt yangu namna hiyo ka kuku anaepelekwa machinjioni!! Click to expand... sina maana na wewe ulianzishee ebooo
Passion Lady said: na unieleze kwa kina sababu ya kumning'iniza aunt yangu namna hiyo ka kuku anaepelekwa machinjioni!! Click to expand... sina maana na wewe ulianzishee ebooo
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,587 52,263 Jul 30, 2013 #8 Ni Kongosho na The secretary wanaenda clinic. Hao ni wake wa Bishanga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,587 52,263 Jul 30, 2013 #9 Hao wanaume ni Vin Diesel na mwenzie wanaenda kwa mganga.
Leak JF-Expert Member Feb 22, 2012 52,204 42,063 Jul 30, 2013 #10 Hahaha mwenyekiti wangu Baba V hawezi kuwa mkatili sana kiasi hiki,hii ni zaidi ya kashifa kwa kiti cha mwenyekiti. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hahaha mwenyekiti wangu Baba V hawezi kuwa mkatili sana kiasi hiki,hii ni zaidi ya kashifa kwa kiti cha mwenyekiti.
Chocs JF-Expert Member Aug 21, 2012 8,403 4,763 Jul 31, 2013 #11 Mamndenyi said: Ni Kongosho na The secretary wanaenda clinic. Hao ni wake wa Bishanga Click to expand... Jamani ndo kusema umejitoa
Mamndenyi said: Ni Kongosho na The secretary wanaenda clinic. Hao ni wake wa Bishanga Click to expand... Jamani ndo kusema umejitoa
shansarie JF-Expert Member May 25, 2013 5,690 3,357 Jul 31, 2013 #12 hao wababa wanaitaji maombi kwa kweli
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Jul 31, 2013 #13 stevoh said: Comparisons.. Hapo ni Mama v akiwa na Mamndenyi wanapeleka watoto wao...... Na iyo ya chini nadhani ni Baba V akiwa na Mr Rocky wanawatoa "AUTI"" watoto wao.... Click to expand... Wewe bado una hang'over za Marry Hunbig sio bure, yaani hadi leo hujaweza kunitofautisha mimi na Bishanga ? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
stevoh said: Comparisons.. Hapo ni Mama v akiwa na Mamndenyi wanapeleka watoto wao...... Na iyo ya chini nadhani ni Baba V akiwa na Mr Rocky wanawatoa "AUTI"" watoto wao.... Click to expand... Wewe bado una hang'over za Marry Hunbig sio bure, yaani hadi leo hujaweza kunitofautisha mimi na Bishanga ?
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,587 52,263 Jul 31, 2013 #14 Msongamano unaleta hasira Chocs Chocs said: Jamani ndo kusema umejitoa Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,587 52,263 Jul 31, 2013 #15 Haujambo mkwe? shansarie said: hao wababa wanaitaji maombi kwa kweli Click to expand...
shansarie JF-Expert Member May 25, 2013 5,690 3,357 Jul 31, 2013 #16 Mamndenyi said: Haujambo mkwe? Click to expand... sijambo mama za siku nimekumisije mama yangu
Chocs JF-Expert Member Aug 21, 2012 8,403 4,763 Jul 31, 2013 #17 Mamndenyi said: Msongamano unaleta hasira Chocs Click to expand... Good for you Mamndenyi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,587 52,263 Jul 31, 2013 #18 Chocs; Nikwambie kitu, Bishanga weka kando, sasa hivi Moyo wangu umetulia; Chocs said: Good for you Mamndenyi Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chocs; Nikwambie kitu, Bishanga weka kando, sasa hivi Moyo wangu umetulia; Chocs said: Good for you Mamndenyi Click to expand...
Chocs JF-Expert Member Aug 21, 2012 8,403 4,763 Jul 31, 2013 #19 Mamndenyi said: Chocs; Nikwambie kitu, Bishanga weka kando, sasa hivi Moyo wangu umetulia; Click to expand... Swaafi..napenda watu wenye maamuzi magumu kama wewe...keep it up
Mamndenyi said: Chocs; Nikwambie kitu, Bishanga weka kando, sasa hivi Moyo wangu umetulia; Click to expand... Swaafi..napenda watu wenye maamuzi magumu kama wewe...keep it up
stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jul 31, 2013 Thread starter #20 Mamndenyi said: Ni Kongosho na The secretary wanaenda clinic. Hao ni wake wa Bishanga Click to expand... unachokitafuta mie simo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Ni Kongosho na The secretary wanaenda clinic. Hao ni wake wa Bishanga Click to expand... unachokitafuta mie simo