Nimemisi kupost kitu ila nadhani hii ipo ki ANALOGIA ZAIDI...

Dalili ya mvua......

Kumbuka ndoa ni wajibu ila harusi ni biashara....Ngoja tukitoka kazini utaniambia ulikomjulia huyo sijui Vin Diesel au Vin Petrol....whatever you call him.

jamani mpenzi, 'mfupa hauna ulimi' nisamehe mume wangu, nimemtaja kimakosa tu honey!!!!!

Pacha angu Passion Lady, my cousin ladyfurahia na my wii Heaven on earth hebu kujeni mnisaidie kujitetea mwenzenu nasikia harufu ya damu kumwagika leo.
 
Last edited by a moderator:

hahaaa damu wala haiwezi kumwagika my wii wote tunajua kuwa kwa Arushaone umefika wengine

wote ni historia tu ambayo haiwezi kujirudia hata kwa dawa
 
sikatatai..... Nampenda sana Arushaone, ila mwenzio nimebugi hapo juu nimeshindwa hata kujitetea, hebu niitie kaka yangu figganigga aje anichukue nikalale kwake maana kwangu leo hapatalalika
 
hahaa Tembo hashindwi na mkonga wake(sosi my mother)
we banana hapo hapo tu hadi kieleweke............

baby figganigga uko wapo mdogo wako keshaharibu mambo huku
 
Last edited by a moderator:
hahaaa damu wala haiwezi kumwagika my wii wote tunajua kuwa kwa Arushaone umefika wengine

wote ni historia tu ambayo haiwezi kujirudia hata kwa dawa

ujue Mamndenyi na stevoh ndio wamesababisha yote haya, maana ndio waliniona nikisalimiana na X boy friend wangu kwa mbali

hahaaa my Shem wala hana shida ila siku nyingine uwe makin my wii

kututoa majumbani kwetu jion jion kama leo hatutaki.....

jamani wii, jua leo kwangu kesho kwako, tusaidiane atii kwenye masoo kama haya!!

hahaa Tembo hashindwi na mkonga wake(sosi my mother)
we banana hapo hapo tu hadi kieleweke............

baby figganigga uko wapo mdogo wako keshaharibu mambo huku

namuogopa shemejio we umuoni alivyobaunsa,,, ngoja niende kwa kaka angu kwanza ntarudi kesho

Kama umemchoka useme sio kumtisha mdogo wangu hadi anaogopa kurudi nyumbani. Salamu haitii mimba. Mia

halafu ye namuonaga kila siku anasalimia wadada, mimi waala sisemi

Nimeshamkanya Arushaone. Amguse aone. Mia

that's my kaka!!!!!!!
Mmwwaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ameanza kukuita majina ya hawara zake mamaaaa hilo ni kosa la jinai.

mtu anayetapatapa utamjua tuu eti sisi sijui ndio tumefanyeje sijui hata simwelewi...
Mtu unaandika full Jina alafu unalia umekosea kuchapa..
Simooo
 
stevoh ngoja kwanza Arushaone aone rangi zooote za upindi wa mvua
ajue ndoa siyo mahihara, Lady doctor endelea kumwita hivyo hivyo majina ya mahawara zako
ukikosea tena mwite tu Bishanga.

Back
Top Bottom