Nimemisi kuongea kilugha (kikurya, kizanaki, kingoreme, kikabwa)

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Wadau hasa mlioko dar naomba tujikumbushie kidogo kuongea kilugha, inasemekana nyie wakurya mliokimbilia na kulowea pwani ya dar es salaam siku hizi hamjui kuongea lugha zenu za aslili na wengine mkijinadi kwa kusema nyie sio wakurya bila kukumbuka mlipo kuwa mnaingia dar mlikuwa hamjui hata kuongea kiswahili vizuri.

Haya nawasalimu kwa hivi:

Kikurya- mbuya mwalaye?

Kizanaki- mbuya mwahindiri/ mwaleli?

Kikabwa- mbuya mohoyeri?

Kingoreme- tengote mura?

Kama ni mmoja wa watu mliolowea pwani ya dar es salaam hebu anza kuongea kilugha chochote cha mkoa wa mara nione kama unajua.

Karibuni.
 
Watu wa bara unakuta mpaka Kajukuu akiwa Hapa Hapa Mjini lakin unakuta akisema 'nyumbani' anamaanisha kijijini kwao

Utaskia Mara ya Mwisho kwenda 'Nyumbani ' Ni Mwaka Juzi
 
Wadau hasa mlioko dar naomba tujikumbushie kidogo kuongea kilugha, inasemekana nyie wakurya mliokimbilia na kulowea pwani ya dar es salaam siku hizi hamjui kuongea lugha zenu za aslili na wengine mkijinadi kwa kusema nyie sio wakurya bila kukumbuka mlipo kuwa mnaingia dar mlikuwa hamjui hata kuongea kiswahili vizuri.

Haya nawasalimu kwa hivi:

Kikurya- mbuya mwalaye?

Kizanaki- mbuya mwahindiri/ mwaleli?

Kikabwa- mbuya mohoyeri?

Kingoreme- tengote mura?

Kama ni mmoja wa watu mliolowea pwani ya dar es salaam hebu anza kuongea kilugha chochote cha mkoa wa mara nione kama unajua.

Karibuni.
Iya horenge tata isakoro Dasalam hayo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom