Nimemhonga msichana simu na bado amenitosa, naweza kumripoti polisi?

Naomba msaada wenu nimemnunulia Huawei y6 pro ya 300000 nikiwa na maana anikubali mapema je, niripoti polisi kuwa imeibiwa maana e-mail na kila kitu nnacho nimejarbu kublock kwakutumia e-mail nimshindwa
e031403b9cc639dce7ec139f5362f46d.jpg
inawezekana hiyo,ndio nyota yako! tena sina uhakika kama hata kiwanja unacho au shamba kwa akiri kama hii, akiri ya mchwa! ukome, wanunulie wote basi!!! thread zingine sio lazima uzilete uku, hatuna habari na mazoba zoba kama nyie! kesho utamlalamikia magufuri kuwa amebana!!jinga weee!
 
Kamhonge ya bei ghali zaidi then usikilizie, akikutosa mhonge ya juu zaidi hadi akuelewe.
 
Jifanye unaumwa hoi
mwambie aje akusaidie umpe card ya ATM aende kukutolea hela uende hospitali...
atakuja tu....
Mkuu huyu jamaa nikama kaliwa tu coz hiyo smartphone inamuwezesha huyo binti kusoma hii thread napengine akawa anacomment hapa.

NB: Mleta mada hii kumbuka sana unapotoa pesa kulipia mzigo hakikisha risiti unapewa papo hapo?
 
mwendee kwa mganga kamwambie ampige dawa ya kumzubaisha ili ailete simu ye mwenyewe.......
 
Naomba msaada wenu,

Nimemnunulia Huawei y6 pro ya 300000 nikiwa na maana anikubali mapema je, niripoti polisi kuwa imeibiwa maana e-mail na kila kitu ninacho, nimejarbu kublock kwakutumia e-mail nimeshindwa.
e031403b9cc639dce7ec139f5362f46d.jpg
duu kwani alikwambia ukimnunulia io cmu anakubali...
 
Ina maana umehonga simu hata mzigo hujala ?

Masikini ...

Nitumie imei number zake nikisaidie kuifunga bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom