Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
Baada ya kumfumania mme wangu tarehe 8 Nov 16 PR Hotel uwanja wa taifa na tarehe 12 Nov The Target; nilifanikiwa kumrekodi kwa simu bila yeye kujua akimwambia dada yake kuwa mimi namwekea boda boda kumfuatilia na alipokuwa hotelini nilimkuta akinywa pombe, pia watoto nilionao si watoto wake;
Lakini tarehe 13 Nov nilimrekodi tena akimwambia rafiki yake kuwa nilimfumania hotelini na akakimbia kupitia mlango wa nyuma akaenda mbele kunywa pombe nyingi, Mwanamke ninaye mkuta naye ni mama wa kisukuma kwa jina mama samson.
Ambaye tarehe 26 Nov alimtumia kama mama wa mtoto wake wa nje kwenye arusi ya bintiye wa nje ya ndoa. ingawa mama wa bibi arusi alikuwepo arusini. mimi harusini sikuruhusiwa kwenda.
Kinachonishangaza huyu mama ana umri mkubwa kumpita hata mme wangu. nimemrekodi mara nyingi akimwambia mme wangu kuwa mimi nina waganga watatu wa kienyeji na nimempa mzee wangu limbwata. imefikia sasa nimerekodi anamwambia mzee wangu kuwa mimi ni malaya.
Ushauri tafadhali.
1. nifanye nini na mme huyu niliyekaa naye ktk ndoa kwa miaka 25 na sasa anakaribia kustaafu?
2. Suala la kwamba watoto si wa kwake?
3. Nifanye nini na mama huyu?
Nakaribisha pia PM -Private
EDITED on 15/12/2016.
Nimeongea na wanasheria na wamenishauri kama mzee hawatunzi nidai DNA Test. Ukweli mitoto yote inafanana naye mno. hiyo dna ni kupoteza pesa kwani wanatunzwa
Upande wa mama huyu sijapata ushauri wa kuniridhisha bado.
Juu ya mzee mwenzangu nimepata ushauri mzuri sana nawashukuru nyote.
Ila clip zangu zilikuwa ktk lugha ya kinyakyusa na wachangiaji wangu wa mwanzo akina Ibwe ni wanyakyusa. majibu yao yamo humu, wasomaji wangu mmeiona tabia ya wanaume wa huko nilikoolewa.
Kilichopelekea mimi kumfuatilia kwa kipindi cha mwezi mmoja ni tabia yake ya kurudi nyumbani saa nane za usiku tena bila kulewa na asiulizwe chochote. la sivyo unapata kipigo cha mbwa. Tabia niliyoivumilia hadi sasa watoto wamekua. nikaona ni vema nijue kulikoni. huyo mama ilikuwa bahati mbaya tu kwake. kwani...
Tutaonana nitakapopata mda na kuweka clip za kiswahili mzee alipokuwa anatongoza married WOMEN from a office. within a period of a month akisaidiwa na madereva wa ofisini.
Binafsi huwa sina rafiki kwani alishapitia wote na nimekata tamaa ya urafiki.