Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

We mwalimu bana ndo nn ivi kumpa mtihani mgumu sana mwanafunzi huyu wa mapenzi?

ukiona manyoya jua keshaliwa

mzima wewe siku yako imekwendaje
 

Attachments

  • 1401125242779.jpg
    1401125242779.jpg
    30.2 KB · Views: 900
inaonekana huyo bidada anakamchezo hako tokea mda cha kutuma pics za jinsi hiyo, we msamehe tu na uendelee kumwekea mitego..angalizo..ukimchunguza bata haumli, cha msingi ni kusamehe na kusahau,kwani wewe umemfanyia mangapii?
 
Pole ameshapata dereva awezaye na sasa gari yake yaenda mbio,wewe kalagha baho
 
Mpaka picha ya nusu uchi mtu katumiwa bado unajipa moyo, safi sana kuna gospel moja inasema "jipe moyo jaribu kuisikiliza
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom