Nimemfatilia toka alipokuja alikuwa moto ila kwa sasa naona kama Tundu Lissu ameanza kuchoka

Japhet Karibu

Member
Feb 27, 2020
79
129
Lissu alipotua hapa kwetu Tanzania alipokewa kwa vifijo na ndelemo na hata yeye pia alikuwa mwenye bashasha, furaha na nguvu lakini kadri siku zinavyosonga mbele namuona ameanza kuchoka mapema sana na hiyo ni kutafuta wadhamini tu.

Sasa, Je atamudu kweli kwenda kwa spidi katika kampeni, maana katika kampeni kwa nchi nzima itakubidi ufanye kwa siku mikutano zaidi ya mitatu, sasa je huyu ndugu atamudu kweli.

Tusubili tuone
 
Wewe naye unachekesha kama aliweza lowasa licha ya kuwa mnasema atafia jukwaani lakini alimaliza salama kabisa na waliokuwa wana mbeza ndio walitangulia mbele ya haki!! kweli unakuwaje na mashaka na kamanda lisu?!! Kama sio chuki binafsi?!!!
 
Lisu alipotua hapa kwetu Tanzania alipokewa kwa vifijo na ndelemo na hata yeye pia alikuwa mwenye bashasha, furaha na nguvu lakini kadri siku zinavyosonga mbele namuona ameanza kuchoka mapema sana na hiyo ni kutafuta wadhamini tu sasa je atamudu kweli kwenda kwa spidi katika kampeni ,maana katika kampeni kwa nchi nzima itakubidi ufanye kwa siku mikutano zaidi ya mitatu sasa je huyu ndugu atamudu kweli.
Tusubili tuone
Hofu yako nini???
 
Atamaliza mapema sana hoja za kwenye kampeni atajikuta hana jipya.
Watu wanachoka kusikia mashambulizi binafsi na kulaumu tu bila hoja na sera za maendeleo ya kweli na ya kudumu.
 
Subiri 28/10/2020 halafu tuone kama utarudia hii makala yako. Sisi vijana kwa ufupi tumechoka;

1) Hakuna Ajira.

2) Hakuna Mitaji.

3) Madeni Ya Mkopo Wa Mosomo.

4) Trafic & Polisi Wanatunyanyasa.

5) TRA Watatunyanyasa.

6) Ahadi Tunapewa, Hazitimizwi.

7) Nyongeza Za Mishahara Hawepewi (Waliobahatika kuwa kwenye ajira serikalini/walimu).

8) Hakuna Dira/Mwelekeo Wa Maisha Kwa Vijana.

9) Maisha Yanakuwa Magumu Zaidi Ya Jana.

10) CCM Mnatudharau Nchi Nzima Kwa Kejeli Zenu.

11) Mwenyekiti Wenu CCM kila Anapopita Majimboni Nchi Mzima ANATUFOKEA - SASA TUTAFOKEANA KWENYE SANDUKU LA KURA!!!

#TUTAFOKEANA KWENYE SANDUKU LA KURA 2020
 
Lissu alipotua hapa kwetu Tanzania alipokewa kwa vifijo na ndelemo na hata yeye pia alikuwa mwenye bashasha, furaha na nguvu lakini kadri siku zinavyosonga mbele namuona ameanza kuchoka mapema sana na hiyo ni kutafuta wadhamini tu.

Sasa, Je atamudu kweli kwenda kwa spidi katika kampeni, maana katika kampeni kwa nchi nzima itakubidi ufanye kwa siku mikutano zaidi ya mitatu, sasa je huyu ndugu atamudu kweli.

Tusubili tuone
Naona mnasubiri mkono uanguke mle, mtasubiri sana. Hamuoni hata haya kwa kumshambulia mtu huko ambaye mlishamuua akafufuka?!
 
Lisu alifikiri watz ni wajinga na mihemuko kama yeye
Dogo yaani umeridhika kabisa na hiyo elfu saba kwa siku ya huko Lumumba? Wenzenu akina Polepole na Bashite wanazidi kujiimarisha tu kiuchumi kwa kutumia upumbavu wenu.
 
Attachments

  • Makonda ajitangaza mla raha namba moja duniani..mp4
    857.8 KB
Dogo yaani umeridhika kabisa na hiyo elfu saba kwa siku ya huko Lumumba? Wenzenu akina polepole na Bashite wanazidi kujiimarisha tu kiuchumi kwa kutumia upumbavu wenu.
Wewe endelea kuwa mjinga wakati kina Mbowe wanajilia tu mihela ya Ruzuku
 
Wewe endelea kuwa mjinga wakati kina Mbowe wanajilia tu mihela ya Ruzuku
Tuna utawala wa kipumbavu sana, enzi za Nyerere watawala wa namna hii aliwaita WASHENZI NA WENDAWAZIMU. Kushindwa kuwajibika kwa serikali hii katika matukio ya kifedhuli yanayoendelea nchini, inamaana TANZANIA HATUNA SERIKALI. Bali kuna GENGE TU linalotawala kihuni na kihalifu, utawala wa namna hii SASA BASI.
 
Nimekusama Bosco Ntaganda, A,K,A Terminator Piga spana
 
Lissu alipotua hapa kwetu Tanzania alipokewa kwa vifijo na ndelemo na hata yeye pia alikuwa mwenye bashasha, furaha na nguvu lakini kadri siku zinavyosonga mbele namuona ameanza kuchoka mapema sana na hiyo ni kutafuta wadhamini tu.

Sasa, Je atamudu kweli kwenda kwa spidi katika kampeni, maana katika kampeni kwa nchi nzima itakubidi ufanye kwa siku mikutano zaidi ya mitatu, sasa je huyu ndugu atamudu kweli.

Tusubili tuone
Kuna uwalakini mkubwa kwenye coordination ya safari za Lissu, yaani hawaangalii kabisa afya yake, Tangu aingie Tanga jana hajasikika tena na hakuna taarifa yuko wapi wala msafara wake haujaonekana popote, inawezekana kuna kuhitilafiana, hivi ilikuwaje mbowe hakwenda Hai wakati ndio jimboni kwake?
 
Back
Top Bottom