Nimemeza mseto asubuhi kufika saa tisa mchana nimejisahau nikanywa bia mbili

Daah ingekuwa fragile nadhani ungeisha fika kwa kina kanumba na shalo na wengineo asee huo upuuuzi usirudie tena
 
kama uko hai haufi tena tafuta maziwa fresh nusu lita unywe ikibidi jitapishe sana
 
hahahahahah,mdau hapo inategemea na nguvu ya mwili wako kupambana na sumu,mimi juzi nilikunywa dawa za malaria asubuhi malafin mchana nikapiga chupa ndogo ya pombe kali (valeur), nikawa fresh tuu ila ndo hivyo tunaua ini na figo
 
Back
Top Bottom