Nimemcheki Samatta kwenye Game ya Genk vs Anderletch. Samatta hana uwezo wa kucheza England

Kama Giruod kaweza kwanini samatta ashindwe na pia akienda huko England sio lazima acheze team kubwa kama unavowaza anaweza kuchezea team za ligi kuu epl zenye majina madogo na akatisha tu
 
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Aibuuu
 
Mbaya hana sababu.. Endelea kunywa bia za kuagiziwa.
FT: GENK 1-0 ANDERLETCH... goli amefunga Mbwana Samatta.
 
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
ila samata anamzidi kiwango lingard wa Manchester United
 
Tanzania kila mtu mchambuzi kwani kazi ya striker ni nini?

Me kama kazi anayotumwa anaitekeleza me sioni tatizo. Kikubwa anafunga na kuiwezesha timu kuondoka na point tatu.
Nikukumbushe. Match nne goli tano hadi sasa.
 
Back
Top Bottom