Nimemchapa makofi mchepuko kwa kumtukana mke wangu

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
265
1,000
Mengi nimefupisha,
Uyu uyu mchepuko nliemzaba makofi Kuna kipind aliwahi fua nguo nlizokuja nimevaa ili nisirudi home.

Anadai
"Nmeziona chafu nmeona nizisafishe"

Nkamuuliza,
"Kwaiyo umezifua unategemea ntavaa Nini sasa nkitoka hapa"

Akajibu
"Ooh, kwani unaondoka? Mi nkajua Leo unalala uku mpk kesho!"

Nkamuuliza,
"Kwani nlikwambia leo nalala uku? ,
Kwani ujui natakiwa kurud home kwa wife. Narudije sasa, uchi au?"

Nkaona ananiletea usiku TU uyu, analazimisha nilale kwake.

Fasta nkampigia wife
"Chukua ovaroli,gloves, praizi mbili, kata moja, Lile jinzi gumu gumu na TISHETI YA KAZI. Kuna dili moja nimepata mida hii mpe boda boda aniletee hapa kazini chap"

Boda alipofika kazin ananipigia hanioni, nkamuelekeza ampe mshkaji wangu nishamseti tayari aniletee chap kule kwa mchepuko.

Nkatoka kwa mchepuko, nkaenda zangu kwa rafki angu.

Kufika kwa rafk angu, nkampigia wife msosi muesabu na shemej ako kabisa maana tutarudi mida mibaya na migahawa washafunga. So unajua shemej ako uyu Ni bachela. Msitili kwa leo.

Wife kakubali.

Tumezuga zuga mpk mida ya saa 8 usiku, tukajipaka vumbi kias na top kwny viatu tukaelekea home kana kwamba tumetoka saiti.

NIKAJINASUA KWNY MSALA, MAMBO YAKAENDA VIZUR

Sent using Jamii Forums mobile app
We mpuuuzi najiona Mimi kabisa .....una akili mingi Sana aaaaa ....yaaani unacheza michezo Hadi wife akija kugundua anabaki anacheka tu ni jinsi gani kidume chake ulivyo na akili. Mwanangu popote ulipo ukinunua kinywaji nyanyua tu juu ishara ya cheazi maana kinafsi tutakua tumegonga cheaz maana we look familiar
 

IGADESA

Member
Jan 15, 2021
73
150
Michepuko mingine haina sifa ya kuwa mpango wa kando... kama hawawezi bora wakatae tu waume/wake za watu ...Maana ya mchepuko ni kula raha tu kimya kimya bila kutambulishana kwa ndugu na jamaa labda kwa marafiki wachache (ingawa si sawa kimaadili).
 

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
3,775
2,000
Kwanini umemrudia mara ya pili mwanamke aliyemtukana mkeo???

Kwanini washikaji zako wanaingilia mahusiano yako?ushikaji gani wakuingiliana mahusiano bila kuulizana maswali ya msingi?yaani demu ana waset washikaji zako hlf hamna hata mwana mmoja anakusanua washikaji wote wanakuwa upande wa mchepuko???

Shukuru tu Mkeo nimuelewa ila mzee ulibugi
 

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
10,965
2,000
Kwanini umemrudia mara ya pili mwanamke aliyemtukana mkeo???

Kwanini washikaji zako wanaingilia mahusiano yako?ushikaji gani wakuingiliana mahusiano bila kuulizana maswali ya msingi?yaani demu ana waset washikaji zako hlf hamna hata mwana mmoja anakusanua washikaji wote wanakuwa upande wa mchepuko???

Shukuru tu Mkeo nimuelewa ila mzee ulibugi
Mambo ya mahusiano sometimes unaeza fanya maamuz afu baadae ukajikana mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jan 17, 2021
28
45
Kabisa mkuu,
Michepuko wapumbavu Sana.

Wanasahau kabisa kua MAMA WATOTO ndo injini nzima ya familia.

Vihelahela, baraka, jeuri na fujo zetu mjini zinatokana na wake zetu walotuvumilia kweny ndoa kipind hatuna hata senti.

Leo Niko na senti,
Eti uyu Mbuzi wa kupita akamkoromee MKE wangu.

Aisee, sitakagi masihara kwa wife.

NAMPENDA SANA MKE WANGU, Sema ndo ivyo tamaa za mwili TU zinanivurugaga.

Ila DAIMA mke wangu Ni wa THAMANI SANA.

Mchepuko yeyote akitaka tuelewane, amheshimu Kwanza mke wangu uyu.

HAPO NDO MAMBO MENGINE YATAFATA

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa wa thamani ungetulia naye,acha kujidanganya ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom