Nimembwaga mpenzi wangu kisa kaniharibia kwa mpenzi niliyekuwa na malengo naye

Hujawajua wanawake wewe.....
1. Wameelewana wakufanyie umafia kukuumiza kwa kuwa nao wote kwa wakati mmoja, singo maza zaatachia ngazi huyo mchumba atalipiza kisasi na kukuacha.

2. Hama hapo unapokaa, mwambie mchumba wako nae abadili namba na wewe badili namba na ubadilike kweli kweli uache michepuko.

3. Komaa kiume lolote litalotokea kabiliana nalo. Ukizidiwa lia kwanguvu piga na uyowe kabisa uondoe machungu halafu uendelee na maisha.
Kasie
 
Back
Top Bottom