Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

CUHAS=catholic university of health and Allied Sciences...maarufu BUGANDO
Ohh asante. Nili search pia Jana nikaona. I believe ni Chuo kizuri kwa private baada ya say Muhimbili. Ila ukweli serikali ina vyuo vikuu vichache Afya. Vya mambo mengine viko vingi. Matokeo yake waliosoma masomo ya Science wanaishia kulipa heavy fees ya degree vyuo vikuu private kama hiyo Bugando, Kairuki n.k ambako nasikia Ada zinaanzia 6m plus. Na Loan Board usipopata mkopo ni mzigo Sana kwa wazazi wa moderate income. Serikali iliangalie hili.
 
acha kufuata mkumbo, hizo kazi za afya sio kipawa chako ni vile tu mnafosi kupitia taharuma zenu, watu msiokuwa na kipawa cha kuipenda kaz fulan, hata utendaj wenu huwa wa hovyo hovyo,.

acha kabisa, tafuta jambo la ndoto zako, na kama ili ni ndoto zako bas ni ndoto za mchana ambazo kutimia ni nadra, nenda kalale tena uote ndoto zako halisi, nakusisitiza tena, achana na jambo ambalo haliko ktk kipawa chako, u can't do something that u dnt love it,, achana na izo mambo tafta vitu vingine mbna kuna mambo mengi ya kufanya?? nyie ndio wale ambao hamkuandaliwa kisaikolojia kuja kuwa yule mtu wa ndani, yaan kuonesha uhalisia wako wa ndani, matokeo yako hayawez kudetermine future yako, bali kipawa chako na mapendekezo yako ya ndani ndyo huonesha wew ni nan, na utakuwa nani, acha mkumbo kijana kaka zako hapa tunakusisitiza hata sie tumepitia hayo.....ukweli mchungu
 
*NENDA PHARMACY *
Lakini kama unaipenda medicine ukikaza unaweza ukaishinda hio hali ya kuogopa damu
Uoga tu mkuu huo watu wa medicine wengi walianza hivyo hivyo mkuu.

Akiingia field wenge lote linakwisha hilo asiwazee kabisaaaaa.

Kila kitu kinataka mazoea.

Kama hujaishi na damu usiseme unaogopa kwa sababu hujawai kuishi nayo
 
Nlisoma hio combi na sikuwahi kuwaza kuwa Dk actually hiyo combi.ni kama nlisukumizwa na walimu wangu wa sayansi 0level. Nkakimbilia zangu Utawala. Nawazaga sana kudili waliopata ajali, inahitaji.moyo sana ndio maana MD wengi ni walevi wakutupwa
 
acha kufuata mkumbo, hizo kazi za afya sio kipawa chako ni vile tu mnafosi kupitia taharuma zenu, watu msiokuwa na kipawa cha kuipenda kaz fulan, hata utendaj wenu huwa wa hovyo hovyo,.

acha kabisa, tafuta jambo la ndoto zako, na kama ili ni ndoto zako bas ni ndoto za mchana ambazo kutimia ni nadra, nenda kalale tena uote ndoto zako halisi, nakusisitiza tena, achana na jambo ambalo haliko ktk kipawa chako, u can't do something that u dnt love it,, achana na izo mambo tafta vitu vingine mbna kuna mambo mengi ya kufanya?? nyie ndio wale ambao hamkuandaliwa kisaikolojia kuja kuwa yule mtu wa ndani, yaan kuonesha uhalisia wako wa ndani, matokeo yako hayawez kudetermine future yako, bali kipawa chako na mapendekezo yako ya ndani ndyo huonesha wew ni nan, na utakuwa nani, acha mkumbo kijana kaka zako hapa tunakusisitiza hata sie tumepitia hayo.....ukweli mchungu
Saivi Hamna kufata Ndoto.... Tunaelekea upepo Unapovuma Mkuu
 
Nlisoma hio combi na sikuwahi kuwaza kuwa Dk actually hiyo combi.ni kama nlisukumizwa na walimu wangu wa sayansi 0level. Nkakimbilia zangu Utawala. Nawazaga sana kudili waliopata ajali, inahitaji.moyo sana ndio maana MD wengi ni walevi wakutupwa

kwamba ni walevi duh...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom