Nimemaliza mkataba wa kulitumikia jeshi la kujenga taifa natafuta kazi yoyote ile ya halali

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
8,036
2,000
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Mimi ni kijana niliye maliza mkataba wangu wa kulitumikia jeshi la kujenga taifa (jkt) miaka mitatu, nipo Arusha kwa sasa natafuta kazi yoyote ya halali maisha magumu mtaani naombeni kazi nipate japo chochote kitu. 🙏🙏
0654635623.


Pole sana, hangaika tu usikate tamaa kijana.

Ni ✊🏻 tena.
 

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
5,652
2,000
Kila sehem ya utafutaji wa maisha huwa ina risk zake mkuu.
Halafu ondoa hio mentality kwamba kila alipo mlinzi basi wazee wa kazi wanakuja any Time T.

Walinzi wengine huwa wanakuwa receptionists tu
Huo ndy ukwl mkuu...

Kitu cha kwanza ktk kufanya uhalifu wowote wa kutumia nguvu ni mlinzi awe targeted..

Mengine yanafuata..

Hilo alijuwe kwanza,,,
 

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,682
2,000
Nipe


Nipe connection mkuu
Wapigie hawa
IMG_20201231_094726.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom