Nimemaliza kifungo changu leo

Range rover

Senior Member
Nov 22, 2016
186
195
Wadau habari zenu.

Mimi ndio nimetoka leo jela baada ya kumaliza kifungo changu. Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 nilihukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kosa langu la kuiba hela kiasi cha milioni 17 kwa njia ya udanganyifu.

Nakumbuka kesi yangu ilikosa ushahidi wa kutosha lakini kuna vipengele nilikiri hivyo hakimu akanipiga nyundo 2. Nashkuru milioni 17 nimeikuta sehemu nilipoificha baada ya kutoka jela nimeamua kutafuta passport nikimbie nikatafute kazi Dubai.

Hii nchi sio jamani.
 
yn hapo ni sawa na umeiba kwa mara ya pili, na safari hi tukikukamata lazima tuhakikishe tunakutoa @#¥€~>
 
Unailaumu nchi wakati kweli ni mwizi,najaribu kufikilia uliyemtapeli huenda alikuwa na shida,,aisee karma haitakuacha salama na utaandamwa kokote utakakokimbilia mpaka utubu.
 
Badala ya kufurahi kuishi Nchi ya kisela kama hii ambayo unaiba unafungwa unachat ukiwa jela,unatoka jela unakuta hela uliyoiba halafu bado unalaumu?wenzio huwa wanaenda jela na marinda wanarudi hawana marinda huko dubai umepata mume??





Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwake
Mungu Ibariki Gairo
 
dah poleeee...uliwezaje fichaaa...manake nchi nilizotembelea hawatangazi kubadilisha fedha namaanisha fedha (sarafu na noti) zilizoko kwa mzunguku zaondoka zenyewe na mpya kuingiaaaa, yaani hawatangazi wala nini, siuku ukija bank na furushi wataanza kukumulika.....
 
Back
Top Bottom