Nimemaliza kidato cha sita natafuta kazi kwa ajili ya ada ya chuo

happyrozo

Member
Oct 17, 2017
53
27
Habarini wanajamii forum wote,

Nimemaliza kidato cha sita na nimepata nafasi chuo nimeshindwa kwenda kwa tatizo la kifedha, kwa yeyote atakaye weza kunipa kazi yeyote nzuri niko tayari kufanya ili nipate ada ya chuo

Asanteni
 
Mwenyew nimekumbana na hill tatizo ...hata sijaripot chuoni kisa mkopo ..ivii ukiacha kuripot chuon wala kujisajili kuna tatizo lolote ukiomba mwakan chuo na mkopo upya???..
 
Nendeni mkaombe kupostpone mwaka ili nafasi zenu zihifadhiwe....kisha njooni muombe nafasi za kujitolea JKT...mkibahatika miaka ya mbele mnaweza kupata ajira
 
Hiv nikiomba mwakani tcu hawala niconsider kama continuous students.. Japokuwa sijajisajili???? Nisaidieni apaa

Ndio itakuwa hivyo kule TCU utaonekana ni mwanafunzi unayeendelea kusoma ila kuna taratibu itabidi uzifuate ili wakupangie tena chuo.
 
Ila mim sijajisajili chuon mkuu ...na sijalipa hata mia..watanaconcider vip kama students
 
Hiv nikiomba mwakani tcu hawala niconsider kama continuous students.. Japokuwa sijajisajili???? Nisaidieni apaa
you cant be considered by TCU kama mwqnafunzi wa chuo husika kama hukuenda kupostpone. na taratibu za postpone mpk ufanye usajili otherwise TCU watacancel jina lako kwenye system kwa kuwa chuo ulichopangiwa watapeleka report ya wanafunz walioripot na kujisajili hivyo kama usipoenda chuoni kupostpone mwakani utaanza upya maombi
 
Yaap mwenyew nataka ivo ivo mwakani niombe upya tu ...sina namna
 
Ukijisajili unapaswa kulipa ada ndipo uahirishe ila kama hujalipa ada huruhusiwi kupostpone
 
Ila mim sijajisajili chuon mkuu ...na sijalipa hata mia..watanaconcider vip kama students

Hata usipojissjiri jina lako TCU litaonekana ni mwanafunzi unayeendelea, kuna dogo alipata chuo mwaka juzi hakwenda kuripoti chuo na mwaka huu ameomba tena ila jina lake likaonekana TCU kuwa anaendelea kusoma Ila alichotakiwa kufanya ni kuomba aandikiwe barua kutoka kwenye kile chuo alichopangiwa mwaka juzi kuonesha sio mwanafunzi wa pale ndio akapangiwa tena chuo.

Kwahiyo usikate tamaa kila kitu kinawezekana.
 
Vip board ya mikopo sinaweza kuomba kama fresher's student au.???
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom