Nimemaliza kidato cha nne natafuta kazi yoyote, nipo Mbagala

mdizi 2021

Member
May 4, 2021
55
52
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, mimi kijana mwenye elimu ya kidato cha nne. Naomba mnisaidie mtu yoyote mwenye uhitaji wa kufanyiwa kazi kama vile:

1. Kunituma kutoka sehemu 1 hadi nyengine kupeleka bidhaa au kununua.

2. Ulinzi wa eneo lake la kazi.

3, Usafi wa magari

4. Kuuza duka, nipo Dar Mbagala wakuu mimi mwaminifu sana utanilipa kwa siku baada ya kazi.

Au kazi yoyote mimi naweza kufanya.
 
Tafuta nafasi ya kwenda Jkt....upate cheti huko..polisi wakitoa nafasi za kazi omba huko kwa cheti cha form 4 na jkt...
Kwa elim ya form 4 bongo sasa ni mtihan sana kutoboa bila akil ya ziada na ajira za form 4 ziko.majeshin angalau zina nafuu
Na cheti cha jkt ndio lazima
 
ahsante mkuu
 
Utasaidika! nakuombea!
 
Tafuta nafasi ya kwenda Jkt....upate cheti huko..polisi wakitoa nafasi za kazi omba huko kwa cheti cha form 4 na jkt...
Kwa elim ya form 4 bongo sasa ni mtihan sana kutoboa bila akil ya ziada na ajira za form 4 ziko.majeshin angalau zina nafuu
Na cheti cha jkt ndio lazima
UKIFIKA POLISI UWE KAMA GOODLUCK MINJA AKE BADASS
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, mimi kijana mwenye elimu ya kidato cha nne. Naomba mnisaidie mtu yoyote mwenye uhitaji wa kufanyiwa kazi kama vile:

1. Kunituma kutoka sehemu 1 hadi nyengine kupeleka bidhaa au kununua.

2. Ulinzi wa eneo lake la kazi.

3, Usafi wa magari

4. Kuuza duka, nipo Dar Mbagala wakuu mimi mwaminifu sana utanilipa kwa siku baada ya kazi.

Au kazi yoyote mimi naweza kufanya.
Je kazi ya jikoni kama kukaanga chipsi, kuchoma mishikaki unaweza?nikuunganishe kwa jamaa yupo tabata?ukapige kazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom