Nimemaliza kidato cha nne 2018 naitaji msaada

Victor Chilambo

Senior Member
Jan 31, 2019
111
43
Naombeni msaada kombi gani nisome advanc "nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 najiandaa kuingia kidato cha tano lakin nashindwa kufanya chaguo la combi"matokeo yangu ni Hist-C,,Geo-C,,Kisw-C,,Eng-C,,Bio-C,,Math-C,,Civ-D,,Chem-D,,Phy-F
Mpango wangu ulikua kusomea kombi zenye physics lakin matokeo yamekuja wrong.Je chuo na advanc kipi bora
 
Advance Level kuna michepuo mbalimbali, ungeoainisha ni upi una vutiwa au kujimudu nao zaidi walau tungepata mwanga mzuri.
1. Masomo ya biashara
2. Mchepuo wa sanaa
3. Mchepuo wa Sayansi
ila kwa sayansi tayari una "F" ya fizikia ni ngumu kupata nafasi nzuri ya mchepuo huo. Labda CBG (kemia,bailojia na geografia)
 
Nimejaribu kupata mwanga apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada kombi gani nisome advanc "nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 najiandaa kuingia kidato cha tano lakin nashindwa kufanya chaguo la combi"matokeo yangu ni Hist-C,,Geo-C,,Kisw-C,,Eng-C,,Bio-C,,Math-C,,Civ-D,,Chem-D,,Phy-F
Mpango wangu ulikua kusomea kombi zenye physics lakin matokeo yamekuja wrong.Je chuo na advanc kipi bora

Inategemea unataka kuja kuwa nani dogo....
Hapo naweza kushauri CBG au EGM. ...
Uzur wa CBG unaweza kuja soma course nying mno za Afya. ...hata 95%.... na rahisi kupata kazi....
EGM ni nzur pia sema itabid ungalie kwanza kama utapenda kuja kuwa mhasibu, mchumi, au msimamizi wa biashara au hata mwalimu wa hesabu na G au Uchumi.... hizi course zinasomwa na wengi mno... kwahiyo kupata kazi ni ushindani mkubwa mno....
Hongera na kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom