Nimemaliza 'kamshahara' ka October 2019 ndani ya siku 2

Pole sana ndugu ,ukitia nia naamini utajenga japo taratibu, nina miaka minne kazini ili nimejifunza mengi kuhusu suala la kujenga, nimegundua kwanini watumishi wanajengea kiinua mgongo haswa watumishi wa kawaida kama sisi, mshahara mdogo sana, matumiz mengi na wategemezi wengi sana. Kinachotakiwa ni kukubali kujitesa hata ndani ya miaka kadhaa, kukubali kukosa baadhi ya mambo muhimu kama kula mlo kamili, kuvaa nguo nzuri au kujumuika na marafiki kwenye mambo yaletayo furaha. Wakati mwingine unapaswa ukubali kuonekana u mtu wa ajabu ajabu kwa wengine, usiogope kukopa la msingi ukope kwa malengo, ishi wewe kama wewe, kama sehemu waweza kutembea kwa mguu basi usitumie nauli, fanya lolote lile ili punguze matumiz, anza kujenga hata ukiwa na laki moja anza utajikuta umejenga. Zaidi ni kwamba ukianza kujenga utajikuta umeenda mbali bila wewe kujua pesa unaipataje. Mungu azidi kutimiza haja za moyo wako.
Amina mkuu, ahsante sana
 
Salary ni tamu japo ni ndogo...Tunafanya kugawana kasungura kadogo tu kwa ajili ya kuishi.

Mshahara umetoka mchana October 24 , leo hii October 26 hakuna kitu.

'Kamshahara ka serikali' kamekuta madeni kimbwa, ngeu za kutosha dadeki.

Sijui nitatoboaje November 24!!

Kwa kawaida mshahara unatakiwa uishe baada ya siku ngapi wakuu?
Mshahara unatakiwa ufanye hendiova kwa mwenzie... ukiona hilo halitokei, ujuwe una matumizi makubwa kuliko kipato chako.... Rekebisha matumizi
 
Salary ni tamu japo ni ndogo...Tunafanya kugawana kasungura kadogo tu kwa ajili ya kuishi.

Mshahara umetoka mchana October 24 , leo hii October 26 hakuna kitu.

'Kamshahara ka serikali' kamekuta madeni kimbwa, ngeu za kutosha dadeki.

Sijui nitatoboaje November 24!!

Kwa kawaida mshahara unatakiwa uishe baada ya siku ngapi wakuu?
Mambo ya walimu haya

Utakuwa mwalimu tu au police !! Unamalizaje salary siku moja? Lazima uwe mwalimu tuu
 
Back
Top Bottom