Kiswahil C
Bible knowledge C
English D
History D
Geography D
Civics F
Mathematcs F
Sent using Jamii Forums mobile app
Bible knowledge C
English D
History D
Geography D
Civics F
Mathematcs F
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahil C
Bible knowledge C
English D
History D
Geography D
Civics F
Rudia tu paper haina jinsi
#Inawezekana kufaulu haijalish how difficult it will be
Kiswahil C
Bible knowledge C
English D
History D
Geography D
Civics F
Mathematcs F
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu umefaulu vizuri sana. Ki msingi mtu unatakiwa kuwa na pass 4 za olevel ili uendelee na masomo na ww pia una pass 4 excluding Bible Knowledge.
Hivyo basi usijisikie mnyonge. Unaweza soma course zaidi ya 20 za Certificate isopokuwa za Engineering na Afya na kilimo.
Unaweza soma karibia course zZote business
Certificate hadi chuo kikuu
Unachohitaji ni kuwa na Nia tu. Pia kama una familia ambayo inaweza kukusomesha basi fanya hivyo
Kuna vitoto vingi sana jf ndio maana kumbe unaweza ukajikuta unabishana na mtu kumbe katoto.
Mdogo wangu umefaulu vizuri sana. Ki msingi mtu unatakiwa kuwa na pass 4 za olevel ili uendelee na masomo na ww pia una pass 4 excluding Bible Knowledge.
Hivyo basi usijisikie mnyonge. Unaweza soma course zaidi ya 20 za Certificate isopokuwa za Engineering na Afya na kilimo.
Unaweza soma karibia course zZote business
Certificate hadi chuo kikuu
Unachohitaji ni kuwa na Nia tu. Pia kama una familia ambayo inaweza kukusomesha basi fanya hivyo
Kuwa Mhubiri wa Injili.
Bible uko sawa na Kiswahili uko njema pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Veta course ipi mkuuIn short hakuna kilichobalans hapo, nenda veta, ama kasomee uchngaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana C moja (nikiweka kando Bible Knowledge) na D tatu. Hivyo unaweza kuangalia course za NACTE au VETA uamue kipi kinakupendeza uombe.
Kwenye ENGLISH lilitoka shairi gani?