Nimemaliza degree ya education English and Geography 2018 nakusanya nauli nifuate transcript chuoni niombe maombi ya uwalimu

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,092
2,000
Wakuu Kwa aliemaliza mwaka Jana art aliefanikisha kuomba anipe matumaini naendelea kukusanya nauli Hali ngumu.. Nimemaliza chuo kwa Jana.. Nimesikia ajira zenyewe ziko limited

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rolla

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,182
2,000
Degree ya Education English in anatolewa chuo gani? Inaonekana una degree mbili ya Education English na Geograghy. Kwa jinsi inavyosomeka hapo hamna degree iliyotajwa kwenye tangazo.

Angalia mstari wa kwanza wa sentensi yako ambao ni (topic sentence) haueleweki........"waliosoma arts...) Kozi za arts zipo nyingi na nyingi haziusiani na mambo ya ualimu ...from politics to anthropology et al.

Ushauri: jaribu kutulia any time unapoandika kitu kitakachosomwa na mengine maana maandishi ndio yatasimama badala yako. Picha/mwonekano/mpangilio wake vinampa msomaji picha yako.

Chaao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
4,527

Kwamba hujaelewa alicho andika mkuu????

Wew unatakiwa kujitafakali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom