nikisoma hivi nazidi kuingia woga jamaniBora wewe mwezi wa kumi mwaka huu, sisi huku tuliambiwa tulipie umeme.
Tukaingia gharama za kufunga wiring n.k.
Muda si muda wakaleta nguzo wakazitandaza kwa kuzilaza chini.
Leo mwaka wa pili - -
Nguzo zingine zilishafunikwa na mchanga na zingine zinaoza, hakuna chochote tunachosikia wala kuona kuhusu umeme huo.
Inabidi kusubirimbona kwangu alikua huru tu
Mimi Tanesco ninaenda Kila ijumaa nimekuwa Kama mtushi wao lakini majibu ni kuwa hakuna vifaa, na haya majengo ambayo hayahitaji nguzo naambiwa nipo kwenye foleni.Nenda kwenye Tanesco Special Thread kule utapata mrejesho fasta.
Kama ambavyo tulikuelewesha tunaomba uvumilivu wako.Mimi Tanesco ninaenda Kila ijumaa nimekuwa Kama mtushi wao lakini majibu ni kuwa hakuna vifaa, na haya majengo ambayo hayahitaji nguzo naambiwa nipo kwenye foleni.
Lakini wengine wanapata huduma hiyohiyo niliyokosa Mimi.
Natamani hata nitoe rushwa tatizo mtazamo wangu Kila ninayemwambia anadhani nataka kumweka matatizoni haamini Kama namimi naweza kubembeleza hivi, Mimi nimekuwa mtu wa haki siku zote hiki kinanifanya nisipate huduma kwa uharaka.
had nakuonea huruma jaribu kutafta mtu wa kukuongoza bila hivo huduma hazitakufikiaMimi Tanesco ninaenda Kila ijumaa nimekuwa Kama mtushi wao lakini majibu ni kuwa hakuna vifaa, na haya majengo ambayo hayahitaji nguzo naambiwa nipo kwenye foleni.
Lakini wengine wanapata huduma hiyohiyo niliyokosa Mimi.
Natamani hata nitoe rushwa tatizo mtazamo wangu Kila ninayemwambia anadhani nataka kumweka matatizoni haamini Kama namimi naweza kubembeleza hivi, Mimi nimekuwa mtu wa haki siku zote hiki kinanifanya nisipate huduma kwa uharaka.
i agree with youhii nchi rushwa haaishi kamwe.......fuatilia control number kwa yule survey....mshikishe kiduchu....huyo ndie anaeweza kupush upate control number......then huyo huyo anaweza maliza mchezo..........achana na manager au vikaragosi wengine....surveyor ndo sterling....
simkumbuki jina wala sura yake na sjui nampataje
madame nakushauri umtafute huyo survey anaweza kukusaidia hawa masurvey ndo wanamaliza kila kitusimkumbuki jina wala sura yake na sjui nampataje
Yeah fanya hivyo la sivyo wapya watakupita wewe bado unasoteashukran sana itabidi nianze hii kaz kunae mmoja huku yeye alianza process tangu mwez wa sita waliokuja nyuma yake wote wanaumeme yeye had leo yan mimi nitajiongeza skua najua tu pa kuanzia nitawatafta
madame unapimiwaje mara mbili?kuna binadam mnakera, hebu jiongeze bas
had namtafta mkandarasi it means nilishajipanga kwa njia hiyo ili mambo yangu yaende kwa haraka na siku alokuja mkandaras akaniletea na mpimaji hiyo n mwez wa saba nikakaa mwez wa tisa akaja mpimaji mwengine baada ya hapo kimyaaa na nilishaongea na mkandaras akanijibu sina haja ya yote hayo
madame kama survey kashamaliza kazi yake waambie watoe control number yako ukalipie Benkininawasiliana naye lakini kanambia atanifahamisha pia namsikilizia
leo asbh walinipigia baada ya hili bandiko jana wakanijibu nisiwe na was was niwe na amani watanipigia sasa nilichopanga niwaache kwa siku mbili hizi then nianze kuwakera mimi wakat huu pia ninawasiliana na mkandaras wangu naye kaniambia nimuache atanipigia ananihangaikia hilo jambomadame kama survey kashamaliza kazi yake waambie watoe control number yako ukalipie Benki
madame achana na mkandarasi dili na haohao waliokupigia simu tena ukitaka haraka wasumbue sana lakini ukiwapotezea nawao wanakupotezea halafu kama ujajua wanakutengezea mazingira ya kuwahonga ndo maana wanakwambia watakupigialeo asbh walinipigia baada ya hili bandiko jana wakanijibu nisiwe na was was niwe na amani watanipigia sasa nilichopanga niwaache kwa siku mbili hizi then nianze kuwakera mimi wakat huu pia ninawasiliana na mkandaras wangu naye kaniambia nimuache atanipigia ananihangaikia hilo jambo
namba nimeisevu nasubiria hapa leo au ndani ya wiki hii kuanzia wiki ijayo nitawatafta nikiona response ni ndogo au hakuna kabisamadame achana na mkandarasi dili na haohao waliokupigia simu tena ukitaka haraka wasumbue sana lakini ukiwapotezea nawao wanakupotezea halafu kama ujajua wanakutengezea mazingira ya kuwahonga ndo maana wanakwambia watakupigia
lazima uwasumbue sana ndo wanatekeleza haonamba nimeisevu nasubiria hapa leo au ndani ya wiki hii kuanzia wiki ijayo nitawatafta nikiona response ni ndogo au hakuna kabisa