Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,172
- 34,277
- Thread starter
- #101
mh mimi moja hali ni hii wewe mbili si ndio utasota sana?? kwa hiyo umeamua kufanya nn sasa?? mimi naona nguzo zimeekwa kuna mmoja nilimuuliza akanambia alianza kufatilia tangu marehemu mjomba wake yupp hai ni karibu 2016 kaja kuekewa nguzo mwaka huu mwez wa nane nikachoka kabisa tena anambia walifatilia mpaka wakakoma wakaamua kupotezea had walipopigiwa tu njooni mkalipie wakaekewa nguzoNdiyo nguzo mbili