Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

Ndiyo nguzo mbili
mh mimi moja hali ni hii wewe mbili si ndio utasota sana?? kwa hiyo umeamua kufanya nn sasa?? mimi naona nguzo zimeekwa kuna mmoja nilimuuliza akanambia alianza kufatilia tangu marehemu mjomba wake yupp hai ni karibu 2016 kaja kuekewa nguzo mwaka huu mwez wa nane nikachoka kabisa tena anambia walifatilia mpaka wakakoma wakaamua kupotezea had walipopigiwa tu njooni mkalipie wakaekewa nguzo
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Mimi nimewatumia majina yangu namba ya simu mpaka Sasa hamjanipa huduma
 
Tuvumilie tu boss, hata tukiweka hizo nguzo tukakuletea waya mpaka mlangoni pako, bado hautapata umeme, sasa hivi tunahangaika na kina cha maji, megawatts hazitoshi halafu tuongeze tena watumiaji ? Kuwa na huruma 🐒
 
mh mimi moja hali ni hii wewe mbili si ndio utasota sana?? kwa hiyo umeamua kufanya nn sasa?? mimi naona nguzo zimeekwa kuna mmoja nilimuuliza akanambia alianza kufatilia tangu marehemu mjomba wake yupp hai ni karibu 2016 kaja kuekewa nguzo mwaka huu mwez wa nane nikachoka kabisa tena anambia walifatilia mpaka wakakoma wakaamua kupotezea had walipopigiwa tu njooni mkalipie wakaekewa nguzo
Duu TANESCO kiukweli wanatupa mateso maana hii nyumba nilianza kuombea umeme tangu mwaka 2019 mpaka Sasa yani inasikitisha
 
shida unajua nn sjui namfata nani naangukia kwa nani yan ningelengeshwa huyo mhusika angalau ingekua nasema vingine saa hizi hata huyo mkandarasi niliiunganishwa na mtu ila wamenipigia ngoja tuone mwisho wake
Hebu wasikilize lakini kama bado kuna sound check na wale wanotembea na gari la emergency wale ndio kila kitu.. Mimi nilikomaa bila kutoa kitu nikafungiwa mita siku ya ijumaa ambayo ilikuwa haiingizi umeme.. Kucheki nao nikaambiwa mpaka jumatatu... Mungu bariki nikatonywa na msamaria mwema nikawatafuta wa emergency Ijumaa jioni umeme ukawaka
 
Duu TANESCO kiukweli wanatupa mateso maana hii nyumba nilianza kuombea umeme tangu mwaka 2019 mpaka Sasa yani inasikitisha
ila me niliambiwa ingekua sihitaji nguzo ingekua mara moja shida ikaja nyaya zitapita juu ya kiwanja cha mtu skutaka hayo mimi nikaomba tu iwekwe nguzo sasa ndio nakoma duh tangu 2019 mbona kazi
 
Hebu wasikilize lakini kama bado kuna sound check na wale wanotembea na gari la emergency wale ndio kila kitu.. Mimi nilikomaa bila kutoa kitu nikafungiwa mita siku ya ijumaa ambayo ilikuwa haiingizi umeme.. Kucheki nao nikaambiwa mpaka jumatatu... Mungu bariki nikatonywa na msamaria mwema nikawatafuta wa emergency Ijumaa jioni umeme ukawaka
shukran sana itabidi nianze hii kaz kunae mmoja huku yeye alianza process tangu mwez wa sita waliokuja nyuma yake wote wanaumeme yeye had leo yan mimi nitajiongeza skua najua tu pa kuanzia nitawatafta
 
Tuvumilie tu boss, hata tukiweka hizo nguzo tukakuletea waya mpaka mlangoni pako, bado hautapata umeme, sasa hivi tunahangaika na kina cha maji, megawatts hazitoshi halafu tuongeze tena watumiaji ? Kuwa na huruma 🐒
😂😂😂😂 haya bwana
 
ila me niliambiwa ingekua sihitaji nguzo ingekua mara moja shida ikaja nyaya zitapita juu ya kiwanja cha mtu skutaka hayo mimi nikaomba tu iwekwe nguzo sasa ndio nakoma duh tangu 2019 mbona kazi
Kuna majengo yangu mawili nayo Yana miezi miwili sijapata huduma na hayo hayahitaji nguzo.
 
Bora wewe mwezi wa kumi mwaka huu, sisi huku tuliambiwa tulipie umeme.
Tukaingia gharama za kufunga wiring n.k.
Muda si muda wakaleta nguzo wakazitandaza kwa kuzilaza chini.

Leo mwaka wa pili - -
Nguzo zingine zilishafunikwa na mchanga na zingine zinaoza, hakuna chochote tunachosikia wala kuona kuhusu umeme huo.
 
Kuna majengo yangu mawili nayo Yana miezi miwili sijapata huduma na hayo hayahitaji nguzo.
jaribu kumtumia mkandaras aliechaguliwa wangu alikua sharp mno na niliona kabisa ningekua sina haja na nguzo sa hii ningekua nimepumzika
 
Back
Top Bottom