Nimeliona hili daraja la milioni 335 nimeshtuka

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Nimeshtushwa namna Daraja lilivyokuwa zuri, kongole kwa Serikali yetu kwa kweli.

1662115250570.png
 
Labda ni pamoja na hayo magari yaliosimama hapo pemben 😂😂
 
Kongole pia zifike huku👇😁😁😁
View attachment 2343082
Very sad na trauma ya mtoto huyu aliyeona mwanamke akiwa Leba ataishi nayo maisha yake yote, tufumbe macho Ile kufumbua kila kata ina special area ndani ya hospital kwa ajili ya kinamama kujifungua na special area hizi pia zinaruhusu waume/boyfriend kuwepo pale wakati wenzi wao wakijifungua, nitaishi kuona haya yakitokea hapa Tanzania, definitely it's No
 
Uone mkeo/girlfriend akiwa anajifungua ili iweje Sasa?Uzungu mwingine ni wa kipumbavu Sana.
 
Wewe ndio una upumbavu, na inaonekana hauna respect, na hujui bond unayojenga as a family inapokua nawe upo pale, mtoto anazaliwa na unamweka kifuani kwako ni chemistry ya kudumu na utamweshimu mke/mpenzi wako milele
 
Back
Top Bottom