Nimelelewa kijijini nakulia mjini nina bahati ya kupendana na wa-kabila langu nakosa aman nifanyeje?

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Nauliza ushauri wenzangu...mie nimelelewa kijijini kwa desturi za kitanzania kwa misingi ya kuwa mtu wa kabila lako kama ni mkubwa basi baba, shangazi, mjomba, au mama...kama ni lika sawa basi kaka na dada.

Bahati nzuri nilipofikia umri wangu wa kuwa mtu mzima (18) nilichukuliwa na ba mdogo na kwa bahati shv tunaishi mji mkubwa sn Jiji letu (Dar).

Nimekua kila nikipata mtu tunayependana kwa dhati anakua kabila langu hiyo imekuwa inaninyima uhuru maana nakua naona kama ninauhusiano na ndugu yangu imekua tatizo sana hadi sasa ninaye ananipenda na ye nampenda lkn tatizo kabila ni moja na kila mara nakosa uhuru nahic kama ni ndugu yangu nifanyejeee??

naombeni ushauri madhubuti ndugu zangu ..ila mzingatie makabila mengine siwapendi sn sijui ni kwakuwa nililelewa kwakulipenda kabila langu na mara nyingi nao hawanipendi sn
 
Bahati hiyoooooo! Jinsi navotafuta kabila langu siku nikimpata wa kabila moja na kijiji kimoja siwazi mara 2!
 
Kwani kupendana na mtu wa kabila moja shida ipo wapi?...Huku ni mjini mkuu ile mambo ya kijijini kumchukulia kila mtu kama ni jamaa wa nyumba moja hakuna.
Ila kama unatatizwa sana na kabila lako basi tafuta wachumba maeneo haya;
Kimara (Huku kama unataka mchumba wa Kichaga).
Tandale, Kinondoni, Mwananyamala, Tandika ( Huku utakutana na makabila ya Pwani kama Wakwere, Wadengereko, Wazaramo, Wadigo n.k)
Msasani hii ya Mtaa wa maandazi (Huku utakutana na Wamakonde, Wayao, na makabila yote ya Kusini)
Kama unataka Wamaasai basi hakikisha unapitia vijiwe vyote vya mitishamba...
Manzese (Huku utakutana na Warangi, Wagogo nk)
Ilala (Huku ni kwa Wapemba na walowezi wa Kiarabu, Kisomali n.k)
 
Hii mbona mpyaa?

Ina maana kuna kabila TZ ambalo watu wao hawaoani kisa ni ndugu?

kabila gani hilo?

mbonaa hi mpya kusikia?
 
Ondoa wazo la kabila kichwani mwako ndio mambo mengine yanaweza kuendelea.., unless uniambie kwenye kabila lenu hamuoani!
 
Jibu unalo. Kwanza wewe ni mkabila. Pili una mawazo mafupi. Tatu hujui unachotaka maishani. Haiwezekani kabila lako wote muwe ndugu. Kama mna kamchezo ka kupimana ndugu kwa ndugu unategemea nani atakupenda? Isitoshe siku hizi watu wengi wanayajua makabila yenye tabia ya kupimana ndugu kwa ndugu. Jamaa zangu wa K'njaro wananielewa vilivyo. Namna hii miwaya itaua wengi tena ndugu kama inavyoendelea kuwafagia. Acheni ukale na ukabila na uchafu wa kupimana ndugu kwa ndugu. Hata waarabu na wahindi siku hizi wamepunguza kupimana ndugu kwa ndugu. Imekula kwako mwanangu. Sina jinsi ya kukusaidia zaidi ya kukushauri uache roho na akili za kikabilakabila.
 
Hii mbona mpyaa?

Ina maana kuna kabila TZ ambalo watu wao hawaoani kisa ni ndugu?

kabila gani hilo?

Kabila letu ni watu wa manyara sitaki kuwataja maana watu watasema sana asanteni kwa ushauri naendelea kufatilia..ila wengine wanakuwa wanamawazo mgando wakati mie nimeomba ushauri kama Father of All..yeye anadhani mie nacchukia kabila wengine hapana mie nasema hisia zangu jinsi ninavyopata taabu kuwa na mpenzi kabila moja na mie inanikwaza sana japo tunapendana.
 
Kwani kupendana na mtu wa kabila moja shida ipo wapi?...Huku ni mjini mkuu ile mambo ya kijijini kumchukulia kila mtu kama ni jamaa wa nyumba moja hakuna.
Ila kama unatatizwa sana na kabila lako basi tafuta wachumba maeneo haya;
Kimara (Huku kama unataka mchumba wa Kichaga).
Tandale, Kinondoni, Mwananyamala, Tandika ( Huku utakutana na makabila ya Pwani kama Wakwere, Wadengereko, Wazaramo, Wadigo n.k)
Msasani hii ya Mtaa wa maandazi (Huku utakutana na Wamakonde, Wayao, na makabila yote ya Kusini)
Kama unataka Wamaasai basi hakikisha unapitia vijiwe vyote vya mitishamba...
Manzese (Huku utakutana na Warangi, Wagogo nk)
Ilala (Huku ni kwa Wapemba na walowezi wa Kiarabu, Kisomali n.k)
NAFANYAJE MIMI ZAIDI YA KUSEMA AHSANTE !wewe mtu akili zako zinakutosha mwenywe tu!lolhii ramani hii ni biraaah!ahahahahhahahha haya bana!
 
ah!mawazo gani haya!
yani we mwanamke umtongoze,mlegezeane macho mvuane pichu bado tu unamuona kama dada yako?
BHAAAA!ngoja nishangae kama watani zangu wamakonde!
 
Kabila lenu mnaoanaje Kama kila mtu anamuona mwenzake ni ndugu??
Uko mjini sasa si kila mtu ni ndugu. Get over it. Kama huwezi jitahidi kutafuta mtu wa Kabila lingine. You have to pick a side.

Nauliza ushauri wenzangu...mie nimelelewa kijijini kwa desturi za kitanzania kwa misingi ya kuwa mtu wa kabila lako kama ni mkubwa basi baba, shangazi, mjomba, au mama...kama ni lika sawa basi kaka na dada.

Bahati nzuri nilipofikia umri wangu wa kuwa mtu mzima (18) nilichukuliwa na ba mdogo na kwa bahati shv tunaishi mji mkubwa sn Jiji letu (Dar).

Nimekua kila nikipata mtu tunayependana kwa dhati anakua kabila langu hiyo imekuwa inaninyima uhuru maana nakua naona kama ninauhusiano na ndugu yangu imekua tatizo sana hadi sasa ninaye ananipenda na ye nampenda lkn tatizo kabila ni moja na kila mara nakosa uhuru nahic kama ni ndugu yangu nifanyejeee??

naombeni ushauri madhubuti ndugu zangu ..ila mzingatie makabila mengine siwapendi sn sijui ni kwakuwa nililelewa kwakulipenda kabila langu na mara nyingi nao hawanipendi sn
 
Hii mbona mpyaa?

Ina maana kuna kabila TZ ambalo watu wao hawaoani kisa ni ndugu?

kabila gani hilo?

Kabila letu ni watu wa manyara sitaki kuwataja maana watu watasema sana asanteni kwa ushauri naendelea kufatilia..ila wengine wanakuwa wanamawazo mgando wakati mie nimeomba ushauri kama Father of All..yeye anadhani mie nacchukia kabila wengine hapana mie nasema hisia zangu jinsi ninavyopata taabu kuwa na mpenzi kabila moja na mie inanikwaza sana japo tunapendana.
Wewe ni kabila moja wanaitwa Wairaq ama Wambulu, saitaa Desii. Ni PM nikupe ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom