khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,083
- 961
Asa utelezi utapata kweli bro?? Just asking...
ila nae asipojihusisha na zako si sawa???Na ukweli leo muda mfupi baada ya kuleft amenipigia mamamkwe ananiuliza mwanangu vipi una shida yeyote? Amenidadisi as if kunaa tatizo kitu ambacho hajawahi hata siku moja kuongea na mimi politely as the way she did . Nashukuru naona mwanga mbele wa kuwekeana mipaka na heshma. Sihusiki directly na affairs za familia ya mkewangu huu ndio ukweli.
Nielekeze ndugu yaani nachukia saaaaaana magroupMi ndio maana nimezuia kwenye settings kuwekwa kwenye magrupu bila ridhaa yangu, hizo settings zipo for a reason, use it.
Mimi wananijua vzr,ma group hua na left kiroho safi.Wanaongea weeee then baadae wanaanza kunitafuta wenyewe ooh Bora hata ulisepa zako tu,kundi la kikuda hili Ni full kusemana na show off tu.Nawaambia pambaneni na hali yenu tu.Nimesgaleft sana magroup kuna usnitch na u match know full kutambiana
No excuse no apologyAaah watajua wenyewe kama watanitafsiri hivyoo.
Namaanisha kwenye group sihusiki .lakini in normal life tunawasiliana na pia natoa support yeyote inayohitajika kwenye familia yao. Keep in mind sijihusishi na majadiliano ya kwenye group la familia yao lakini ninahusika kusapot chochote kinachonihusu ndani ya familia yao sana sana misiba na harusi tupo pamoja always.ila nae asipojihusisha na zako si sawa???
Sijachelewa mzeeUlitakiwa uleave immediately alipokuingiza.
Sijuwi wanajua walioniunganishaSasa uliungwa huko ili kitokee kitu gani labda?
Group la familia ile linakuhusu Nini wewe? Sahihi kutokaNaaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea ?
Uko sahihi kabisa, me nilimpiga marufuku wife maana na wao walitaka kuanza kuleta hizo issue hata kwenye vikao vyao vya ukoo wakaanza kunialika nikawa siendi naona wakajiongeza. Infact hutakiwa kujenga sana mazoea na ukweni, mwisho wa siku matatizo yao yote utaishia kuyabeba.
Ujue shida wanawake mmesahau kuwa nyie ndio mnahamia kwenye familia ya mume kwa taratibu za jamii nyingi!!ila nae asipojihusisha na zako si sawa???
Hiyo Safi mtatafutana au kukutana pale kwenye umuhimu wa kufanya hivyo!!Namaanisha kwenye group sihusiki .lakini in normal life tunawasiliana na pia natoa support yeyote inayohitajika kwenye familia yao. Keep in mind sijihusishi na majadiliano ya kwenye group la familia yao lakini ninahusika kusapot chochote kinachonihusu ndani ya familia yao sana sana misiba na harusi tupo pamoja always.