Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
55,226
2,000
Na ukweli leo muda mfupi baada ya kuleft amenipigia mamamkwe ananiuliza mwanangu vipi una shida yeyote? Amenidadisi as if kunaa tatizo kitu ambacho hajawahi hata siku moja kuongea na mimi politely as the way she did . Nashukuru naona mwanga mbele wa kuwekeana mipaka na heshma. Sihusiki directly na affairs za familia ya mkewangu huu ndio ukweli.
ila nae asipojihusisha na zako si sawa???
 

wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,808
2,000
Nimesgaleft sana magroup kuna usnitch na u match know full kutambiana
Mimi wananijua vzr,ma group hua na left kiroho safi.Wanaongea weeee then baadae wanaanza kunitafuta wenyewe ooh Bora hata ulisepa zako tu,kundi la kikuda hili Ni full kusemana na show off tu.Nawaambia pambaneni na hali yenu tu.
 

Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,061
2,000
Ukiniadd group we uliyeni add utainguwa fedheha na aibu

Maana lazima nitongoze wanawake kwenye group siku demu yeyote aniseme labda namsumbua niondolewe

Wakiropoka huyo nani kamu add nakutaja

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,878
2,000
ila nae asipojihusisha na zako si sawa???
Namaanisha kwenye group sihusiki .lakini in normal life tunawasiliana na pia natoa support yeyote inayohitajika kwenye familia yao. Keep in mind sijihusishi na majadiliano ya kwenye group la familia yao lakini ninahusika kusapot chochote kinachonihusu ndani ya familia yao sana sana misiba na harusi tupo pamoja always.
 

babyfancy

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,870
2,000
Umefanya vizur maana wanataka wakukabidhi majukumu yote ya familia yao hivi hivi unaona bora left taarifa wakupe wenyewe
 

naiman64

JF-Expert Member
Nov 22, 2013
6,438
2,000
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.

Je, nitakuwa nimekosea ?
Group la familia ile linakuhusu Nini wewe? Sahihi kutoka
 

MrConveter

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
499
1,000
Uko sahihi kabisa, me nilimpiga marufuku wife maana na wao walitaka kuanza kuleta hizo issue hata kwenye vikao vyao vya ukoo wakaanza kunialika nikawa siendi naona wakajiongeza. Infact hutakiwa kujenga sana mazoea na ukweni, mwisho wa siku matatizo yao yote utaishia kuyabeba.

Hakika.
 

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,524
2,000
Uko sahihi mkuu.
Wewe sio familia yao.
Wewe hawajakuoa.
Ila umeoa binti yao
Hutakiwi kuwa sehemu yao Ila unatakiwa kuwasaidia unaposhirikishwa.!
Shida siku hizi tunataka kuwa controlled na wanawake.
Hivyo wanatuona kama sisi ni Mali yao na familia zao
 

jkipaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2019
2,081
2,000
Namaanisha kwenye group sihusiki .lakini in normal life tunawasiliana na pia natoa support yeyote inayohitajika kwenye familia yao. Keep in mind sijihusishi na majadiliano ya kwenye group la familia yao lakini ninahusika kusapot chochote kinachonihusu ndani ya familia yao sana sana misiba na harusi tupo pamoja always.
Hiyo Safi mtatafutana au kukutana pale kwenye umuhimu wa kufanya hivyo!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom