Nimelazimishwa kutumia jina la ukoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimelazimishwa kutumia jina la ukoo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sekulu, Jul 15, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimeenda hospitali moja huku Kaskazini, nilipoambiwa kutaja jina langu nikawatajia majina mawili ambayo yanatokeaga ktk oficial documents zangu zote. Wakanambia wanataka majina matatu na ni lazima kitu ambacho sijazoea, nimebaki kujiuliza ni kwa nini ilikua lazima.
  Na je lina faida gani?
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kama unayo Passport . Ina majina mangapi?
   
 3. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Haaa! Ngoja tu niheshimu maoni yako. Sasa wewe umeona nini cha ajabu? Haujui kama jina la ukoo ndilo linalokufanya uweze kutambulika kwa urahisi?
   
 4. f

  fazili JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Jina la tatu muhimu sana kwa sababu majina mawili tu hayawezi kukupambanua na watu wengine manake wapo akina Emmanuel Massawe wengi sana lakini tukisema Emmanuel Joseph Massawe hii inawapambanua akina Emmanuel Massawe waliobakia, ni mfumo rasmi na muhimu kabisa au ulifikiri kuna chembe za ubaguzi/ukabila/ukoo?
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hataki ajulikane mtu wa wapi huyu jamaa. ndo wale wale akina richard john unadhani mzungu ukikutana naye au ukiongea nae kwenye simu utasikia nyela kamweneeeee! taja jina la ukoo mzee
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Jaribu ku-Google majina yako hayo mawili harafu utaona kama kuna wengine wanayatumia hayo? Kama ndio, basi utaelewa maana yake!
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mi nnatumia majina matano lakini bado kuna mwingine ana majina kama yangu exactly
   
 8. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dah, Sikatai kujulikana natokea wapi, Nadhani nimeeleweka vibaya


  Je kwani ni Lazima Kutumia Majina Matatu?
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mkuu, watajie tu ama sivyo watafikiri umetoka Rwanda.
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  tatizo hili linatukumba wengi japo majina kwenye documents zote ni mawili tu
   
 11. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Mnogage....madzengo! Teh teh teh umenifurahisha sana mkuu
   
 12. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Taja majina yako! Hata Yosefu baba mlezi Wa Yesu Kristu alikuwa na kwao na ndiyo maana alifunga safari toka Nazareth kwenda Bethlehem kwenye mji Wa Daudi kwenda kuhesabiwa kwa amri ya Kaisari Augustus. Isingekuwa hivyo angehesabiwa palepale Nazareth alipokuwa anafanya shughuli zake za Useremala na pengine Yesu Kristo angezaliwa palepale Nazareth na siyo Bethlehem. Kwa hiyo identity ya jina au kabila siyo ku promote ukabila bali ni kuonyesha roots
   
Loading...