Nimekwazika kwenye washroom

Mtu B

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
919
51
Hapa ofisini kwetu washroom ina vyumba viwili tu for ladies and gents. Vimetenganishwa na partition ya kioo kigumu kwenye aluminium panel, hivyo ukiingia mtu akiwa the other room unamsikia vizuri (lakini haonekani of course). Sasa kila ninapoingia upande wetu wa gents kama ule upande wa ladies una mtu huwa nakwazika sana. Sorry folks.
 
Fafanua, unakwazika kivipi?
 
Usijali sema ya moyoni uwe huru. Haipendezi hasa kama tumbo limegoma siku hiyo.
 
Kama ni hivyo bora kutoa taarifa kwenye vikao vya utawala.....Usikute mko wengi mnaokwazika!
 
...duhh,
pole sana mkuu, na imagine upo kwenye long call yenye 'miluzi na matarumbeta!', halafu unasikia giggles toka upande wa pili. Mtihani sana aisee.
Hamna suggestion box hapo kwa ofisi? kama ngumu, ongea na Po/Hr wenu mfanye maarifa.
 
Naamini anataka kumaanisha kwamba kunakuwa hakuna complete privacy: yaani japo mtu haonekani wa upande mwingine lakini anasikika kwa vitendo anavyovifanya hatua kwa hatua basi hapo kunakuwa na shida. Na ndo mana anasema anakwazika.
 
Upo ofisi gani nije kukutembelea tena nitaingia washroom halafu nakojoa ule mkojo wa sauti noo kujibana na kuimba juuu:teeth::teeth::teeth:
 
Ingekuwa suala kuimba tu mbona si shida. Nakwambia ni full makwazo!
 
Upo ofisi gani nije kukutembelea tena nitaingia washroom halafu nakojoa ule mkojo wa sauti noo kujibana na kuimba juuu:teeth::teeth::teeth:

Oh nimekuelewa sasa, hapo kwenye 'kuimba', replace 'i' with 'ja'! Yanatokea sana hayo, na kuna zaidi! Tabu tupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom