Nimekwama wakubwa

chotarasukari

Senior Member
Jan 6, 2013
110
23
habari wakubwa zangu, naitaji kutengeneza page ya facebook bila ya kuwa na account ya facebook account ili niitumie kama account yangu ya facebook. mfano page ya www.facebook.com/fullsoka
pia naitaji kufuta page ambayo nimeitengeneza ikawa ndani ya account facebook.
shukrani wakubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom