Nimekuwa Senior Member ndani ya siku 10

Lini wamekuwa STAFF MEMBERS ??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
28f57c6872a758fdf778437633a8f6a8.jpg


DJ sepetu
 
Nataka kujua ni vigezo gani huwa vinatumika kupandisha vyeo humu
Mkuu vigezo vilivyotumika nadhani ni umaarufu ndani ya muda mfupi ikiwa ni pamoja na kukubalika katika kila jukwaa nililopanda,hususani Uzi maalum wa kupeana likes.
Mimi nilipewa usenior member nilipofikisha post 150, na uexepert member nilipofikisha post 250 na likes za kutosha
 
umeshafungua account NBC kwaajili ya kupokelea mshahara wako?

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom