Nimekuwa nikipata simu zenye code ya +269 wakitaka niwapigie. Je, watumiaji wengine wa Vodacom mnapata simu hizi?

pharao

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
379
639
Wakuu ni siku tano sasa nimekuwa nikipata simu zenye code ya +269 wakitaka niwapigie, Hadi sasa nimeshapokea simu zenye code hiyo kama 14 hivi kila siku napokea wastani wa namba mbili tofauti.

Nahitaji kujua kama na watumiaji wengine wa Voda mnapata simu hizi au ni mimi peke yangu, Na Wana Agenda Gani watu hawa.
 
Wakuu ni siku tano sasa nimekuwa nikipata simu zenye code ya +269 wakitaka niwapigie, Hadi sasa jimeshapokea simu zenye cide hiyo kama 14 hivi kila siku napokea wastani wa namba mbili tofauti. Nahitaji kujua kama na watumiajo wengine wa Voda mnapata simu hizi au ni mimi peke yangu, Na Wana Agenda Gani watu hawa.
Nadhani ukiwapigia utajua agenda yao!
 
Wakuu ni siku tano sasa nimekuwa nikipata simu zenye code ya +269 wakitaka niwapigie, Hadi sasa jimeshapokea simu zenye cide hiyo kama 14 hivi kila siku napokea wastani wa namba mbili tofauti. Nahitaji kujua kama na watumiajo wengine wa Voda mnapata simu hizi au ni mimi peke yangu, Na Wana Agenda Gani watu hawa.
TÇRA watalijibu soon. Ukiwapigia wewe dk 5 tu , unatumia ya Tsh 10,000
 
Wakuu ni siku tano sasa nimekuwa nikipata simu zenye code ya +269 wakitaka niwapigie, Hadi sasa jimeshapokea simu zenye cide hiyo kama 14 hivi kila siku napokea wastani wa namba mbili tofauti. Nahitaji kujua kama na watumiajo wengine wa Voda mnapata simu hizi au ni mimi peke yangu, Na Wana Agenda Gani watu hawa.
Labda kama una ndugu huko

Which country code is +269?
Comoros

+ 269
Local TimeTime Zone
Sunday, May 16, 2021 3:00:05 AM MoroniNot Applicable
WeatherDifference
 
comoro ni matapeli alafu wana roho mbaya, ila wengine ni wabongo wanakua na namba za nje, pia vodacom hua wanapiga direct hawasemi uwapgie
 
Angalia country code ya hiyo no.Utakuta wengi walikupekenyua fb mkuu ,ni wapuuzi flani tu wa nchi flani.
 
Back
Top Bottom