Nimekuwa napatwa hasira kila ninapo penda

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,118
85,006
Wakuu,
hali hii hunipata mara kwa mara panapo tokea mkwaruzano kwa Ke
ninaempenda. Hata kosa dogo tu nimekua nakasirika hadi mapigo ya moyo
huongezeka.
Je, nifanyeje ilikuepukana na hali hii?
Je, nihali ya kawaida kutokea kwa wapendanao?
Je, nimimi mwenye tatizohili tu?
Je, hali hii huweza kuniletea natatizo kiafya?
 
Jitahidi kutafuta tiba kwa madaktari bingwa au wataalam wa saikolojia hilo ni tatizo
 
Wakuu,
hali hii hunipata mara kwa mara panapo tokea mkwaruzano kwa Ke
ninaempenda. Hata kosa dogo tu nimekua nakasirika hadi mapigo ya moyo
huongezeka.
Je, nifanyeje ilikuepukana na hali hii?
Je, nihali ya kawaida kutokea kwa wapendanao?
Je, nimimi mwenye tatizohili tu?
Je, hali hii huweza kuniletea natatizo kiafya?

Nenda kwa dakitari wa saikolojia,
Hilo si tatizo dogo kama unavoweza kufikiria mana ndo mwisho wa siku inafikia hadi kwenye bastola.
 
Kila unapo penda au mnapo pendana? Inawezekana wewe unapenda zaidi alafu unae mpenda akupendi... yani unalazimisha mapenzi. Ebu jichunguze wewe na uyo mwenzi wako kabla haujaanza kumtafuta mchawi. Gd morning.
 
Kila unapo penda au
mnapo pendana? Inawezekana wewe unapenda zaidi alafu unae mpenda
akupendi... yani unalazimisha mapenzi. Ebu jichunguze wewe na uyo mwenzi
wako kabla haujaanza kumtafuta mchawi. Gd morning.

Hii ni kila ninapo penda, najizungumzia mimi maana siwezi kujua nini ndani ya moyo wa mwenzangu.
Pia imejirudia kwenye mahusiano zaidi ya mara 2
 
una mood/panic disorder hali inayokufanya ushindwe kujicontrol.chamsingi hapo jitaidi kunywa maji mengi kila siku iliushushe mapigo ya moyo.pia jalibu kupumzisha akili yako na kuchukulia hali hiyo ni yakawaida.pia utakapo onamwezako amekasilika ondoka kwani majibizano yenu ndio yatakayo kupelekea kuwanahasira.mtazamo tu.....
 
una mood/panic disorder
hali inayokufanya ushindwe kujicontrol.chamsingi hapo jitaidi kunywa
maji mengi kila siku iliushushe mapigo ya moyo.pia jalibu kupumzisha
akili yako na kuchukulia hali hiyo ni yakawaida.pia utakapo onamwezako
amekasilika ondoka kwani majibizano yenu ndio yatakayo kupelekea
kuwanahasira.mtazamo tu.....

Asante kwa ushauri
 
Hii ni kila ninapo penda, najizungumzia mimi maana siwezi kujua nini ndani ya moyo wa mwenzangu.
Pia imejirudia kwenye mahusiano zaidi ya mara 2

Basi yawezekana unapenda zaidi kuliko kupenda, inapofikia unaitaji nawewe uonyeshwe mapenzi hauoni dalili. Tafuta ushauri kwa psychologist
 
"dont be stress up overthing you cant control, just accept it, and move on".

Ukitaka kila kitu kuapply
w5+1H i.e. Why,when,what,who, where and how.

Utazeeka mapema...! Ukitaka haya mabadiliko, jiandae kwanza we mwenyewe kufikra, kutaka kubadilika. Kama ikizidi tafuta mwenza atakayecopy nawe vyema.
 
Back
Top Bottom