Nimekuwa na tabia ya kutongoza ovyo ovyo kila mwanamke

jalula

Member
Dec 29, 2014
22
21
Habari wana jf,nimekuwa na tabia ya kutongoza ovyoovyo kila mwanamke ninae muona mate hunindoka naomba nijue tabia hii ni mimi tu,au kuna wenzangu na wanaonizidi mimi, nawasilisha,mapovu sitaki kafulie boxer au chupi za mkeo.
 
Idadi kubwa ya unaowatongoza wanakubali au wanakataa? Tuanzie hapo kwanza
 
Daa duniani kuna mambo!!! hapa shetani anakutafuta kwa mbinde zote kwa kutumia wachawi kwa sababu...

Kufanya mapenzi hovyo kuna wengine wana nuksi!! hutasonga kimaisha.

Ukimwi

Pangusa

Mikosi kaswende!

Ugoni

uvunjifu wa amri ya Mungu

Hatari ya kuuawa

Jua shetani ana kutamani siku nyingi hasa baada ya kujua una kitu ndani yako kizuri sasa shweitani anakichafua! kwa mikosi ya uzinzi utapanye kizazi cha kipaji chako huko na shetani anagema shahawa zako!

karibu shahawa zote zinakwenda kuzimu kuzalisha majini, mapepo na wachawi! baada ya kizazi chako kimoja utazaa wachawi tupu!! na kuendelea kurithisha! Kifupi utakuwa mchawi soon na hutakataa!!! dalili kubwa ni kuotaota visivyoeleweka!!
 
Habari wana jf,nimekuwa na tabia ya kutongoza ovyoovyo kila mwanamke ninae muona mate hunindoka naomba nijue tabia hii ni mimi tu,au kuna wenzangu na wanaonizidi mimi, nawasilisha,mapovu sitaki kafulie boxer au chupi za mkeo.

Utakua una shida ya kutoridhika!!

Cku ukijapata penzi la kweli ukaridhika haswaaa ukapenda utajishangaa hutatamani kila chup
 
Daa duniani kuna mambo!!! hapa shetani anakutafuta kwa mbinde zote kwa kutumia wachawi kwa sababu...

Kufanya mapenzi hovyo kuna wengine wana nuksi!! hutasonga kimaisha.

Ukimwi

Pangusa

Mikosi kaswende!

Ugoni

uvunjifu wa amri ya Mungu

Hatari ya kuuawa

Jua shetani ana kutamani siku nyingi hasa baada ya kujua una kitu ndani yako kizuri sasa shweitani anakichafua! kwa mikosi ya uzinzi utapanye kizazi cha kipaji chako huko na shetani anagema shahawa zako!

karibu shahawa zote zinakwenda kuzimu kuzalisha majini, mapepo na wachawi! baada ya kizazi chako kimoja utazaa wachawi tupu!! na kuendelea kurithisha! Kifupi utakuwa mchawi soon na hutakataa!!! dalili kubwa ni kuotaota visivyoeleweka!!
Mkuu wewe ni mdogo wake gwajima?
 
Back
Top Bottom