Nimekuwa muoga kuomba namba kwa wasichana

Vp guyz...

Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kitafuta mchumba ila kujiamini kwangu kumepotea kabisaa yan!?

Nipeni uzoefu wenu wanaJF
Kuwa na mtu kwake ama kutokuwa nae kote kunategemeana na nini utakifanya baada ya kupewa namba. Hawa viumbe ni kama ng'ombe wa mnada, mwenye dau kubwa ndio anaechukua mzigo.
 
Wenzako hizo namba tunazikimbia...
Kupewa namba ni suala moja, kupokea simu yako ni suala jingine, alafu kuna mizinga hilo ni suala jingine kabisa.
mkuu inawekana unapigwa sanaa virungu
 
1) Masturbation effect
2) Jipange kupangua hoja ndogo ndogo kama "nina mtu wangu" kwa maneno yenye ucheshi kama "basi mi nichukulie kama malaika" na mengineyo

Hiyo namba moja sina uhakika sana
Hiyo namba moja itoe Mkuu, nyeto haina hayo mambo ya kuogopa ogopa wanawake
 
Vp guyz...

Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kutafuta mchumba ila kujiamini kwangu kumepotea kabisaa yaan!?

Nipeni uzoefu wenu wanaJF
Jifanye una side hustle ya vitu vya kike kama Victoria Secret's mist, perfumes, lotions, nguo, viatu, miwani ya kike etc...
Uza kwa bei ya chini sana bila faida.
Utapata numbers mpaka utachoka ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom