mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 206
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,nimekuwa katika mahusiano na sista wa dhehebu moja kubwa tu duniani(wale wanaovaa vilemba vyeupe na magauni),tulikuwa tunafanya naye kazi ofisi moja,cku moja aliniita ofisini kwake na kunambia mguu wake unamuuma,akawa ananionyesha sehemu ya juu ya magoti,nliposhika mguu wake akawa anahema kimahaba,nkajikaza na kuondoka coz nlijua ananitega kujuamsimamo wangu maana mimi nlikuwa msaidizi wake kimajukumu,cku moja majira ya saa mbili ucku alinipigia Simi kuwa Kuna kazi ya dharula napaswa kwenda ofisin,bila hiana nkaenda,nlipofika nkamkuta amekaa kwenye Kochi,akanambia mguu wake bado unamuuma hivyo back,nkamshika mguu akashtuka sana na kuanza kuhema kimahaba sana na kuniegemea kifuani,nkajaribu kutoka lakini hisia zilinizidi nami nano kumshikashika sehemu mbalimbali za mwili,hatimaye tuka sex,ikawa kama kamchezo mara kwa mara,imefika wakati nataka kuoa na kuachana na Hutu mtawa,lakini amekuwa akipinga kabisa mimi kuoa,ananambia yupo tayari hata kuua endapo ntaoa,na mimi kwa umri wangu nahitaji kupata mke japo bado sijapata mchumba,lakini nahitaji kutoka hapa nlipo na kuanza maisha mapya,niachane kabisa na huyu sista,napata taabu nkifikiria kauli sake za vitisho,naombeni mnishauri jamani nifanye mini ili niweze kumwacha huyu mtawa!!!?