Nimekuwa katika mahusiano na sista kwa muda mrefu,sasa nataka kuoa yeye hataki nioe

Status
Not open for further replies.
Pole sana.nadhani tatizo kubwa hapo ni kazi.cha kufanya tafuta kazi sehemu nyingine ikibidi mbali na hapo ukimpata Wa kukufaa oa mtakaa kwa amani bila hofu ya huyo sister,

asante kwa ushauri Wako ndugu yangu,nashangaa kuona watu wanadai nawsingizia,they are very good actors kwa kweli,I never knew before
 
Kwa leo hadithi yetu imeishia hapo...
Msikose sehemu ya pili ya hadithi hii.
 
Vipi mzee uliikuta bikra..!?!, kama hujaikuta hadi kwa sister basi "ukosefu wa bikra nchini" ni janga la kitaifa.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
yeye so kwamba anaishi peke yake mkuu,ila kwa nafasi yake ktk taasisi anatumia miss mwingi sana ofisini,huwa anatoka muda wa Kula na Sala,that is the truth,though most of people will not agree with this,but U have to remember that these are human being just like others!!!

Naanza kuamini kuwa hii ni habari ya kutunga!! Eti huwa anatoka wakati wa kula na sala!
Je,analala humo humo ofisini!!
 
tatizo umejaa povu unajaribu kutetea kitu usichokijua,mimi sifahamu ratiba zao,lakini pia ukumbuke kuwa Huyu ninayemzungumzia ni binadamu,Ana hisia,na mwili wake hauna tofauti na miili ya wanawake wengine,sasa unapopayuka na kunijia juu ni kuinyima akili yako fursa ya kuchangnua mambo,swali langu kwako ni,je,unadhani kwamba mtu kuwa sista maana yake ni kwamba viungo vyake vya uzazi vimepooza??au unadhani hawa ni mfano wa malaika???

He!mbona mkali sana bro! Ulitaka watu waamini ulichoandika bila kuhoji? Napata shida kuamini kama unachoandika kinaukweli ndani yake!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom