Nimekuwa katika mahusiano na sista kwa muda mrefu,sasa nataka kuoa yeye hataki nioe

Status
Not open for further replies.
Masister wengine bhana, sijuwi ni njaa ndizo zimewapeleka au wito. Kuna mmoja nilimlamba mara kadhaa kule nyanda za juu kusini. Nilipo ondoka kule, siku moja nikapokea barua kutoka kwake ndani yake kaweka mavuzi yake eti amenimic.

hahaahhahahaaaaaaaaaaa,,,,,unajua huu usiku mdau,,,hatuoasw kucheka kwa saut tutawaamsha watu,sasa hayo mavuz yalilipiwa transport cost?????
 
Ni sista gani huyo ambaye hayupo kwenye convent wakati wa usiku....Hebu wacha udaku

wao convent wanafanya saa moja I think,coz every day during night kama saa mbili lazima aniite ofisini,najua waweza kupinga kwa sababu zako,lakini sina sababu ya kuja hapa jukwaani kuandika kitu cha namna hii pasipo sababu
 
Eti Sista akamuita usiku....Ni Sista wa shirika gani...? Kwann aishi peke yake...??

Mtoa mada anatafuta popularity hapa

yeye so kwamba anaishi peke yake mkuu,ila kwa nafasi yake ktk taasisi anatumia miss mwingi sana ofisini,huwa anatoka muda wa Kula na Sala,that is the truth,though most of people will not agree with this,but U have to remember that these are human being just like others!!!
 
wao convent wanafanya saa moja I think,coz every day during night kama saa mbili lazima aniite ofisini,najua waweza kupinga kwa sababu zako,lakini sina sababu ya kuja hapa jukwaani kuandika kitu cha namna hii pasipo sababu

Eti convent wanafanya lisaa limoja...??? Unajua maana ya convent wewe...??? Jibu hayo maswali yangu hapo kwanza..

Hivi kwanini Mods mnaacha watu wanaleta thread za kipuuzi....Anyway hata kama ungetaka kuchafua dini za watu wengine atleast ungekuwa na uelewa kidogo...

" Google maana ya convent".....Aibu huna kwa habari za mipasho
 
yeye so kwamba anaishi peke yake mkuu,ila kwa nafasi yake ktk taasisi anatumia miss mwingi sana ofisini,huwa anatoka muda wa Kula na Sala,that is the truth,though most of people will not agree with this,but U have to remember that these are human being just like others!!!

Unazidi kujichanganya... Hebu tafuta stail nyingine ya kuchafua masista....Sio huu uharo ulioleta hapa...
 
Pole sana.nadhani tatizo kubwa hapo ni kazi.cha kufanya tafuta kazi sehemu nyingine ikibidi mbali na hapo ukimpata Wa kukufaa oa mtakaa kwa amani bila hofu ya huyo sister,
 
Kuna askofu mmoja jina kapuni anakula visista hiyo style ya kuvipata sasa
sista anawekwa kwenye box, lile box linabebwa na driver askofu anapelekewa
watu wanajua mzigo kumbe sista anaenda kupata chakula cha mwili

Hahahahaha:D:D mhh
 
Eti convent wanafanya lisaa limoja...??? Unajua maana ya convent wewe...??? Jibu hayo maswali yangu hapo kwanza..

Hivi kwanini Mods mnaacha watu wanaleta thread za kipuuzi....Anyway hata kama ungetaka kuchafua dini za watu wengine atleast ungekuwa na uelewa kidogo...

" Google maana ya convent".....Aibu huna kwa habari za mipasho

tatizo umejaa povu unajaribu kutetea kitu usichokijua,mimi sifahamu ratiba zao,lakini pia ukumbuke kuwa Huyu ninayemzungumzia ni binadamu,Ana hisia,na mwili wake hauna tofauti na miili ya wanawake wengine,sasa unapopayuka na kunijia juu ni kuinyima akili yako fursa ya kuchangnua mambo,swali langu kwako ni,je,unadhani kwamba mtu kuwa sista maana yake ni kwamba viungo vyake vya uzazi vimepooza??au unadhani hawa ni mfano wa malaika???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom