Nimekuwa hapa siku nyingi bila kujitambulisha..

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
Wenyeji wangu wazima jamani? Dah niko hapa kitambo ila nilijisahau sikupitia haka ka utaratibu..leo naona nijitambulishe rasmi...hope hamtakasirika sana wakubwa.
 
Wenyeji wangu wazima jamani? Dah niko hapa kitambo ila nilijisahau sikupitia haka ka utaratibu..leo naona nijitambulishe rasmi...hope hamtakasirika sana wakubwa.
Wakati wa kutoka toilet huwa hatupigi hodi...........ni wakati wa kuingia tu ndo tunafanya hivyo
 
Tuko pamoja jisikie uko huru kutoa michango yako kwa lugha ya kistaha
 
Pamoja sana mkuu,lkn nini kinakutatiza hivyo hapo kny avatar yako usaidiwe?
 
avatar9303_1.gif
karibu sana man but unawaza nini? au unamsikitikia kikwete?
 
Hapa ni kumwaga mavitu ya uhakika kwa maendeleo ya nchi hii, umbeya, fitina na mjungu thru maandiko kwenye JF ni mwiko. huna ulilokosea labda ulikuwa ukijifua before hujatinga rasmi
 
Back
Top Bottom