Wakati wa kutoka toilet huwa hatupigi hodi...........ni wakati wa kuingia tu ndo tunafanya hivyoWenyeji wangu wazima jamani? Dah niko hapa kitambo ila nilijisahau sikupitia haka ka utaratibu..leo naona nijitambulishe rasmi...hope hamtakasirika sana wakubwa.
Pamoja sana mkuu,lkn nini kinakutatiza hivyo hapo kny avatar yako usaidiwe?
Nadhani ujumbe wa avatar yako utamliwazaHata mimi nimejiuliza sana maana anaonekana ana mawazo sana