Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Heko JPM, sasa nakuvulia kofia, ni wazi kuwa sasa Kila mtu ndani ya CCM anakuogopa kama simba au chui, umefanikiwa kuwatikisa CCM na kupenyeza mambo yako uliyotaka yapite, na kweli yamepita, hongera sana.
JPM kafanikiwa kuwajengea nidhamu ya uoga wenzake ndani ya CCM na tabia hii kaitoa Serikalini huko ambako amefanikiwa kupenyeza ukali, hofu na hivyo kuogopwa sana, hakuna anayethubutu kuzungumza au kumpinga, mbali na January Makamba, kwa taarifa za ndani ya baraza la mawaziri, ndiye waziri pekee aliyethubutu kumpinga JPM katika moja ya mijadala.
Yaani JPM akitaka kufanya chochote kwa sasa anafanya, maana anajua kila kitu amefanikiwa, hata kwa wapinzania wetu wa UKAWA tayari wanamuogopa kama ukoma, si mnaona ile issue ya wabunge wa CCM waliotuhumiwa kuhongwa, mkwara wa JPM uliwanyamazisha hadi UKAWA.
Na kwa jinsi tunavyokwenda, baada ya JPM kufanikiwa kuwanyamazisha Wabunge, MAWAZIRI, UKAWA, CCM, sasa anatafuta wengine wa kuwanyamazisha kimya, hadi kufikia 2025 akitamka kuwa anataka agombee tena muhula wa Tatu kila mtu atakuwa kimya na kusema "Ndiyo Mzee"
Huyu ndiye JPM, Jeshi la mtu mmoja, kila mtu anakuogopa Baba, si familia tu, hadi wanaume wote hapa nchini, wewe ndiye kidume kwa sasa hapa nchini unayetamba. Tamba baba, ni wakati wako huu...
Nchi nzima ni hofu tupu.