Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
- Thread starter
- #41
Mkuu mimi tangu nimeanza kupima pressure hali hii inanikuta sijawahi kukutana na dokta nikawa na utulivu,wasiwasi na mawazo ya ghafla huwa yananikuta ,mpaka mapigo ya moyo wanakwenda kasi,yani nashindwa kurelax kabisa ,hadi nlifikia maamuzi ya kuacha kupima mara kwa mara,manake naweza nikapima nikakuta labda ipo 170 nikatulia kidogo kama dk 20 nikienda tena kwa dokta akipima anakuta ishafika mpaka 200/113 sasa sielewi kabisaHali ya uoga na hofu ya mazingira ya hospitali (white coat yale ambayo madaktari uvaa) ambayo upelekea vipimo vya BP kuwa juu kuliko kawaida yako. Lakini hii lazima iwe proved kwa mtu kuwa anafanya vipimo sehemu nyingine isiyo hospitali ili kudhiirisha kwamba ni white coat syndrome ama siyo.