Nimekutana nayo FACEBOOK!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,591
UKIONA MPNZ WAKO ANAKUJIBU HIVI UJUE HATAKI MUWASILIANE NA YEYE HAPO MANAKE CHUKUA TIME UNAPOTEZA MUDA WAKO
SMS:sweet nimekukumbuka sana leo natamani tungekua

sote mida hi upo wap mpnz?
JIBU:nipo
SMS:yani nimekutafuta kweli mpnz ,mbona ulikua hupatikani line zote ,mwenzio cjalala nakufikilia ww my love umenimiss?
JIBU:simu iliisha charge
SMS:bby leo nakula chakula kizuri kitamu kweli cjui ww unakula nn. Natamani tungekua wote kalibu mpnz
JIBU:thank you
SMS:honey yaani ile parfume uliniletea inanukia harufu yake nakukumbuka wew
tena nakumbuka leo umetoka freshi na ile tshirt nilikununulia ukisoma hii sms unapata hisia gn
JIBU:tshirt inanibana

MAPENZ MZIGO MZITO AISEEE WE ACHA TU
 
dah kuna mtu niliwah kumnunulia unyunyu, baada ya km siku 3 akaniambia unyunyu wako unanuka vibaya!!!
Nimempa dogo.

nilipiga chini fasta
 
Hahahaaa.... Huyo nae ana moyo kweli..! Mie ningeishia swali la pili tuu, nisingefika kote huko..!
 
ha ha ha ha mimi swali la kwanza tu likiwa sentensi ndefu then mtu anajibu kwa neno moja nauliza la pili kuverfy then ni kupiga chini tu haiwezekani mwanaume unapewa majibu hayo unaanza kuleta mambo ya pafyumu
 
duh pole yake jamani. ila ndo mapenzi unaweza penda usipopendwa.
 
Ila kwa kweli kuna wapenzi wengine ni pasua kichwa!! Unatumia muda mwingi kumuwazia kumbe anakukumbuka pale anapokuona tu!!! Ila KakaKiiza katoa ya kweli!!! Ila kawaida wanaume wengi majibu mkato sana!!! Tujifunze kutiririka, wanwake wengi wanapenda maneno mazuri na hapo unaamsha hisia zake zote!! Dah tunahitaji darasa la mapenzi!! Lara 1 upo? tunahitaji siku moja ulete uzi wa kufunda wanaume hapa! Wadada wanaumia sana, usipime.
 
niliomba na kutafuta kazi kwa nguvu sana.kwa rehema za Mungu nilipata....siwezi tumia nguvu kubwa hivyo mpaka kudhalilisha utu na hisia zangu adhimu kwa mapenzi ambayo naona kabisa hayapo!kimya kimya....nafuta msgs na namba ya huyo mtu na hiyo itakuwa msg yangu ya mwisho kwake!

maisha yenyewe yako wapi haya uanze kuishi kwa mateso!!!???

halfu wanawake unajua wanapenda hivi kabisa.na inanishangaza sana aisee!kwamba unapata tabu kwa ''penzi'' lake eti!ndo maana ma_player wanacheza na kuvuruga hisia zao vibaya.si wanaweza maigizo!!
 
UKIONA MPNZ WAKO ANAKUJIBU HIVI UJUE HATAKI MUWASILIANE NA YEYE HAPO MANAKE CHUKUA TIME UNAPOTEZA MUDA WAKO
SMS:sweet nimekukumbuka sana leo natamani tungekua

sote mida hi upo wap mpnz?
JIBU:nipo
SMS:yani nimekutafuta kweli mpnz ,mbona ulikua hupatikani line zote ,mwenzio cjalala nakufikilia ww my love umenimiss?
JIBU:simu iliisha charge
SMS:bby leo nakula chakula kizuri kitamu kweli cjui ww unakula nn. Natamani tungekua wote kalibu mpnz
JIBU:thank you
SMS:honey yaani ile parfume uliniletea inanukia harufu yake nakukumbuka wew
tena nakumbuka leo umetoka freshi na ile tshirt nilikununulia ukisoma hii sms unapata hisia gn
JIBU:tshirt inanibana

MAPENZ MZIGO MZITO AISEEE WE ACHA TU
Unaanza kupata ugonjwa wa mawazo hapo....
 
niliomba na kutafuta kazi kwa nguvu sana.kwa rehema za Mungu nilipata....siwezi tumia nguvu kubwa hivyo mpaka kudhalilisha utu na hisia zangu adhimu kwa mapenzi ambayo naona kabisa hayapo!kimya kimya....nafuta msgs na namba ya huyo mtu na hiyo itakuwa msg yangu ya mwisho kwake!

maisha yenyewe yako wapi haya uanze kuishi kwa mateso!!!???

halfu wanawake unajua wanapenda hivi kabisa.na inanishangaza sana aisee!kwamba unapata tabu kwa ''penzi'' lake eti!ndo maana ma_player wanacheza na kuvuruga hisia zao vibaya.si wanaweza maigizo!!
nina uhakika hujawahi kupenda/kupendwa..........
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom