kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,182
- 12,286
Mkuu umenishtua Sana. Mimi kuna mwanamke mweupe alikuwa ananitokeaga miaka ya 2015 yani naomba Mungu asirudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenishtua Sana. Mimi kuna mwanamke mweupe alikuwa ananitokeaga miaka ya 2015 yani naomba Mungu asirudi tena
Nimepata majibu yanguI’m an agnostic.
Mkuu Labda lilikuwa jini lilitaka kukutatuaMwizi angekimbia kwa kukurupuka kwa kuogopa kaonekana Yule hakuwa mwizi
JF imezindikwa mkuu,hawezi kuiingia kifalafala namna hiyo.Ingekuwa huyo jini ana uwezo wa kuingikia mawasiliano ya kupitia teknonoljia ya kisasa kama simu basi angekuja kumtisha jamaa hata hapa kweye JF, wote tinaosoma uzi tungetumiwa ujumbe sijui PM kwamba wewe fulani na wote kwenye jukwaa la JF minajisumbua. Ingekuwa kama mlivyotishwa kwenye simu ktk kisa cha huyo jamaa yako.
Tena jini libgetutaja kwa majina yetu halisi kuonesha linajua kola kitu hatuwezi kilikwepa.
Yechu yechu ati nini inashikwa liveBaba hiyo ni Live na siku nikiwa ofisin sina hata hela ya lunch ghafla Tigopesa inasoma..yani mbwa hawa wanajua kila kitu, mkibishana kwenye sms au ukimletea jeuri siku nzima inaharibika..hata ukiwa bar nilikua nahisi napigwa viwembe na kunyolewa nywele yani nakua uncomfortable mpaka naacha kunywa pombe, kumwambia mtu siwezi yani aarrghhh zile heka heka hapana kwakweli mpaka nikiwa club namuhisi basi naanza kumtukana kwamba flani acha mambo ya kis** nge maana sometimes unahisi **** inashikwa livee!
Watu wa aina yenu kwenye jamii hamkosekani, hvy sishangai ila nivyema kuangalia content ya mtoa mada kuliko hvy vitu vingine haviwez kukusaidia kitu...zaidi Ni kudhihirisha namna gani una upeo mdogo wa kufikir
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii chai sukari yake iko kawaida sana umejitahidi
Agiza chochote nalipia..Haya mambo yako ukanda wa pwani. Huwezi kuyakuta Singida au Dom au Arusha na Kilimanjaro nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hii kitu rahisi sana.. kimbilia kanisani. Nenda ecg church makongo au efatha... hutokosa msaada wasimulie. Na pia waombe wakipe sala za rehema na za damu ya yesu. Sali kila sikuRelax..na atakufanya marafiki wote wakukimbie, time will tell..na hata ukimblock atatumia namba nyingine..mungu akulinde, amenisababishia at this age 28 sitaki mwanamke yeyote nahisi kama nae atakua wale wale tu
Hii chai unaweza dhani ni kweli ,maana mleta maada ana I'd mbili kwahy anajijibu yy mwenywe kukoleza sukari chai iwe tamu!
Sent using Jamii Forums mobile app
ata kama ni hadithi ya kufikirika upangaji wako wa matukio unanivutia kuisoma
ngoja niisubiri part two
Sent using Jamii Forums mobile app
hii story sio chai ya rangi kweli? mbona kuna sehemu unacheka badala ya kuwa serious kwenye tukio la kuogofya kama hilo..
Kuna vitu vinashahabiana...niombeeni kesho niwe vyema...niweze kuendelea. Nitakuwa chizi Sasa hv. Nina was was muda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie nenda sumbawanga kaibe kwa mtu mwenye uchawi alafu akirudi salama uje utuhabarishe.Nimekuelewa.
Nna ndugu yangu pia hapati madhara ya wachawi mashamba ya waganga na wachawi anaiba tu vijiweni zikija stori za kichawi anawatukana kabsaa na kuwataka wamloge.